Sehemu ya nne
👉 Mama anazidi kuniombea msamaha..hapo baba akanitibua zaidi akampiga mama kibao cha kerebu kinavyouma mama alitema mpaka udenda mstuko wa bao lile)
Dah yani...👇
Nilitetemeka kwa hasira Nikamwambia baba.
" Nipige mimi sio mama yangu wewe mzee unakosea sana.
" Nakosea kumpiga mke wangu uyu mbona nampiga sana kitandani wewe unakuwaga nimeanza kuwa na yeye kabla ya wewe ondoka nisije kukuua mimi.
( Wakati sijui nilitaka nijibu nini rafiki wa baba akaja na kupiga hodi kuingia ndani aliona baba anavyoongea ujinga wake akamwita nje na kuongea nae)
" Rafiki yangu wewe kinakuchanganya kile kitoto Sisi wakubwa tuambiane ukweli acha nikwambie aya maneno.
" Maneno gani unataka kuniambia wewe ujui tu mchepuko ule mtamu.
" Ndio maana nataka kukwambia aya....Mchepuko hana huruma kaka! Unajiumiza wewe na hatima yako,
Mchepuko hana huruma na wanao kaka, kuhusu ada, chakula, mavazi nk
Mchepuko hawezi kukuwazia mema kaka, kama kukuombea kama mkeo na wanao.
Mchepuko hawezi kuja kukuuguza kaka, ukiwa unaumwa ila wanao, mkeo na jamaa zako kaka.
Hebu tazama hali ya maisha ya wanao na mahitaji yao je huumii moyoni kaka angu?
Unajisikiaje ukiwakuta wamejikunyata kwa kukosa mahitaji huku mkeo amejiinamia kwa hudhuni huku hajala😭 nk
Umekula mchemsho bar kaka sahihi lakini huko nyumbani wanashindia mikate na maji😭 yawezekana hawana uhakika wa mlo wa usiku ila unapoondoka unasema huna hela.
Au basi kaka nisamehe mimi nakutafakarisha tu sina cha kukufindisha maana pesa ni zako.
( Baba akajibu)
" Yote umeongea taharabu neno hilo la mwisho ndio la kiume pesa ni zangu zisikuwashe wewe baki na mkeo tu utaishia kifo cha mende.
" Sawa kaka ila naomba usifanye mtafaruku nyumbani.
" Uyu mwanangu nataka aondoke akatafute maisha na yeye awe na kwake alafu ndio amuite mama yake wakae wote uko mimi simtaki nitakuja kumuuwa.
( Rafiki wa baba uwaga namwitaga baba mdogo aliniita akanipeleka pembeni kabisa akaniambia)
" Shika elfu sitini hii kapange chumba cha giza ondoka hapa kwenu baba yako anaweza kukuua BULE.
" Sawa baba mdogo.
( Kweli nilifanya ivyo na uku nikampa mama elfu 30 yani ikae kama dharula kwake baba akiacha 3000 anachukua nyengine kwenye 30k anaongeza mahitaji...sasa nikasema kimoyoni demu wa baba namla kote kote si mshenzi namfanyia ushenzi sio mapenzi tena...siku iyo nikampigia simu akaniambia)
" My samahani Leo tumbo linaniuma ila kesho kutwa itakuwa poa ila umekula?
" Sijala.
( Demu wa baba akanitumia 40k nasema kimoyoni uyu kashadata na mziki wa muuni nikamcheki rafiki yangu juma kumwambia yaliyojili akaniambia)
" Hapo mwana ndio unyama utakaa mpaka lini kwenu ila sasa usikae kizembe kutegemea boro unatakiwa ufanye kazi alafu ndio uwe unamkomesha yule demu yani baba yako anafua mpaka chupi za demu baba yako ujanani ajafanya utundu sana inaonekana.
" Poa aina noma.
( Nikawa nampigia simu mama na mama ananiambia)
" Mwanangu uwe makini na makundi sikupanga utoke sasa ivi hapa ila uyu baba yako kataka iwe ivyo chonde chonde usije ukavuta bangi mwanangu nakupenda sana.
" Sawa mama.
( Yani natamani kumwambia mama yangu aombe taraka tu baba anaweza kumletea maladhi ila ndio imekaa vibaya kumwambia nikanyamaza kiume...siku zikaenda demu mwenyewe kanipigia simu ananiambia)
" Yani Leo nina nyege nataka unisugue aswaa my naenda kulipa chumba tulale mpaka asubui unipeleke moto kweli kweli.
" Poa my ukichukua niambie nije fasta mimi mwenyewe nina hamu nayo kweli iyo kuma.
" Jamani wewe unaitaji kama njugu sema una hamu na penzi sio utaje ivyo uko.
( Moyoni nasema ya nini nizunguke wakati neno la mkato nalijua ila mdomoni Nikamwambia)
" Poa nina hamu ya penzi lako.
" Ivyo sawa dk 30 nitakuwa nishalipia.
( Sasa anaondoka kulipia gest hili nimtombe kumbe baba na yeye anamfata nyuma nyuma amechukua pikipiki demu na baba kachukua pikipiki anamwambia deleva wa pikipiki)
" Waswahiri wanasema abiria chunga mzigo wako na mimi ndio nauchunga usimvuke nataka kujua anaenda wapi.
" Poa.
( Demu ajui anafatiliwa ndio kwanza muwasho wa kuma unamsukuma anamwambia deleva)
" fanya haraka na wewe unaendesha pikipiki kama mzee vile.
" Sawa ila mbona dk tatu tutakuwa tumeshafika.
" Ndio uchangamke sasa.
( Baba macho yamemtoka anaona pikipiki inaenda mitaa ya gest baba anamwambia deleva)
" Huu mtaa si una gest huu?
" Mzee TULIA wewe si umesema tumfatilie tulia uone anaenda wapi?
" Sawa ila kama anaenda gest uyo mwanaume nitamuuwa nampenda sana uyu mwanamke.
( Demu ajui ndio kwanza anasema)
" Gest ile simamisha pale nje naingia ndani alafu ukanichukulie mtu wangu.
" Sawa.
( Deleva kweli alifika gest na demu anataka kushuka sasa ajui nyuma yupo baba...)
Dah yani
ITAENDELEA🔥
Comments
Post a Comment