MANKA 05




 

πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•MANKA


Sehemu ya 5


Sikuamini imekuaje nilikua sijui? troy aliniambia mwanza anandugu na akija atanitambulisha kumbe ndo mama yake aunt lola? troy akasema huyu manka huyu manka ni mdogo wangu kivipi? mamake akasema nilimuadopt baada ya babake kunipa.troy akasema kwahiyo babake alikupa wewe ulee mtoto hee hakujui. Aunt lola akasema umeanza ivo kunichokoza mimi ni mamako wewe niheshim troy akaniangalia akawa kama anataka kuondoka akageuka aksema manka mzuri kwahiyo kama nataka muoa ruksa si ndio?aunt lola akasema unatania eeh? umuoe mtu nishasema mdogo wako? haiwezekani mimi nikasema niko ndani aunt.akasema sawa jembe langu we nenda tu troy akaniangalia nikapita nikaingia chumbn huku naskia aunt akimsimulia troy historia yangu nikaingia nikajilaza kidogo natafakari itakuaje mahusiano yangu na troy? aunt akijua je? na vipi troy akijua nililala na mkurugenzi uwiii nimemsaliti daah nitakoma.nikaskia kiu nikatoka niende jikon nikiwa koridon nikaskia aunta anasema naona unakazania na hilo swali nakwambia siwezi ruhusu uoe mwanamke kama manka kwanza sio type yako, pili familia yao tu haieleweki unaoaje huyo najua unanitania lakini we muheshimu kama mdogo wako vinginevo unanijua nitauwasha moto na atakaeumia ni huyo manka troy akasema hubadiliki tu wewe jamani sijui ukoje.niliumia sana kuskia mimi sio type ya troy je mimi nikoje?na mimi sifai kuolewanae sababu familia yetu haieleweki kweli maneno hayo yanatoka mdomoni mwa aunt alienilea na kunipenda, mmh moyo kiza kinene. Nilirudi chumbn na kiu changu nikatokwa machozi na kujiambia nianze kujitafakari hapa sio kwangu kabisa nilimsimulia shoga angu paula kwenye msg akashangaa kuhusu troy na maneno ya aunt lkn akanishaur nijipange kuna siku kitanikuta kitu ivo nifanye kazi nijitaftie pa kuishi ikiwezekana kujenga na nisimuambie aunt mana aunt yangu anaonesha ana roho ya kwa nini ndani mmh niliwaza wazo la paula lkn nikalipotezea muda wa kula ulifika mimi nilikua chumbn tu dada suz akaja kuniita nikatoka nikaenda mezani troy hakuepo aunt akasema ameenda kutembea na rafiki zake nikasema sawa troy alinitumia msg akasema nimekumis sana nilitaka kukufanyia surprise lkn nimeishia kuji surprise mwenyewe usijali maneno ya mama mimi ndio muoaji naomba usifunge mlango usiku nakuja kula tamuu yangu nimeimis sana.mmh io tamu tena vipi hapa ilipo inauma hatari na huyu inakuaje tena anataka.nikamjibu mimi nabrid bby naomba nivumilie hadi kesho kutwa.akasema daa powa basi nakuja hata kukushika na kukubusu bby nifeel joto lako tu.nikasema sawa.aunt akasema naona uko busy na simu bosi wangu huyo nini?nikasema ndio ni yeye ananijulia hali.katikati ya kudanganya bosi wake kweli akapiga nikapokea tukaongea akanitakia usiku mwema.aunt akasema yani umenisaidia sana nikasema usijali aunt nalipa fadhila.akacheka.nilitoa vyombo kisha nikaenda chumbn sikua naelewa cha kufanya kabisa nilipitiwa na usingizi sababu ya uchovu nikaja amshwa na mipapaso ya troy alinishika shika wee akanibusubusu akaniambia ananipenda sana lkn mm moyoni naumia sana najua kabisa mm nayeye haiwezekani kwanz animeshamsaliti na pili mamake anaonesha kabisa hanipendi kuwa na mwanae na akiamua kunimaliza kabisa atamuambia nalala na bosi wake nilikua katika wakati mgumu sana.troy aliondoka kesho yake niliwahi kuondoka nikaenda kushinda ofisini kwangu japo sikua na kazi nilikaa pale troy akanipigia akasema twende kutembea nikamdanganya niko busy naandaa tenda akasema powa basi.jordan nae alinipigia akasema anataka tutoke wote chakula cha usiku lkn nikamwambia nina tenda Jordan akasema bby unafanya sana kazi natamani ww ungekua mtu wa kuangalia tu ngoja nifanye kitu ili uwe unakua free sawa.nikasema nitafurahi.basi jioni nikarudi nyumbani vile aunt alikua safari troy alinibana sana hadi nikajikuta nampa penzi sasa,simu niliacha kwenye pochi Jordan alipiga mpaka akachanganyikiwa mie niko na mwanaume ninae mpenda bana tulikua kama mke na mume siku zote aunt alizokua hayupo tulijitahidi kuficha kwa da suzy lkn aligundua na akaniambia manka unakosea sana ujue hakuna kitu madam anapenda kama mwanae na hapa sa ivi ndio naona wamepatana mana waligombana baada ya max kujua mambo ya mamake ya ajabu ya kupenda vijana na pia kujua aliachwa na baba yake baada ya kufumaniwa na house boy wake hivo baada ya mambo mengi max aliondoka na kwenda kusoma Kenya akakaa huko miaka sijui kumi ndio karudi sa iv.sasa mamake akijua uko nae kimapenzi mtakua na ugomvi mkubwa sana.nikasema nimekuelewa,akasema mdogo wangu madam ana mambo mengi ya ajabu anapenda sana pesa na vyeo kuwa makini sana na maisha yako unakazi yako ebu jijenge ili siku ujitegemee, nikasema sawa asante nikakumbuka na ushauri wa paula nikaona ni kweli wasemacho sikuachana na troy tulindelea huku nikimrusha sana Jordan hatuonani. MUNGU si athumani Jordan akasafiri kikazi mimi nikaendelea na bby sasa hadi aunt alivorudi tuliendelea kuibiana tu mapenzi motomoto troy alikuja likizo ya mwezi ivo akaondoka kurudi dar n a mie niliendelea kuwasiliana nae.alivoonbdoka nikaendelea na jordani siku moja nilienbda kulala kwake usiku nilimuomba pesa akasema pesa nyingi akasema atanipa ila akauliza unataka kufanya nini na hio pesa?nikasema nataka kununu kiwanja nijenge,akasema wow kumbe una akili maeneo gani wataka jenga?nikamwambia nilichagua maeneo mbali kabisa na aunt akasema sawa pesa nitakupa lkn sio ya kiwanja sababu kiwanja nitakupa vilivopimwa kabisa na hati ya jina lako io pesa utaanza ujenzi mpenzi wangu nikafurahi nikambusu mana tulikua kitandani,nikasema lini? akasema kesho tu nitakupa pesa na majibu ya kiwanja chako si unajua mimi ndo bosi,nilicheka niakaema yes bby.basi nilimpa penzi,kesho yake akaniandikia check kisha akatoa amri kwa mtu wa ardhi anipe kiwanja.nilipelekwa kuchagua maenoe niliotaka na kiwanja ninachotaka nikakipata nikipendacho nilienda na paula na hapo nilimwmabia Jordan sitaki aaunt ajue akasema sawa.ndani ya wiki nilipewa hati nikaificha kwa paula nikataftiwa ramani nyingi nikachagua moja ya vymba vitatu vya kulala na sebule dinning jiko na stoo pia nilitaftiwa mafundi na Jordan ujenzi ukaanza cha ajabu alikua analipia yeye vitu vingi mimi nilinunua mawe ya msingi na tofari tu.niliendelea kupata tenda za upambaji na upikaji wa vyakula na keki na vile halmashauri walinitumia sana nikawa maarufu mno,nikipta pesa inapitiliza kujenga aunt hata hajui.siku moja aunt aliniambia manka nina wageni leo wametoka dar hawa ni mabosi sana serikalini natakiwa niwatumie vizuri ili wanifanyie mpango wa kuwa mkuu wa wilaya naomba jiandae tutaenda onana nao hotel unisindikize sawa.nikasema sawa.nilijua kawaida tu namsindikiza kikazi nikajiandaa vizuri huyo tukaenda hotel ya kifahari tukawakuta wababa wawili watu wazima mno wamekaa sehemu ya kula basi tukawasalimia aunt akamkumbatia mmoja wakaanza nyonyana mate.nilishangaa aunt akasema naomba niwatambulishe huyu ni aunt yangu anaitwa manka kama mnavomuona ni chombo haswaaa,Yule mbaba mwingine akasema kwli nimemuona ni mzuri haswa kabila gani huyu mtoto mana ni chombo kweli,aunt akasema ni mchaga huyo Yule mbaba akachukua mkono wangu akaubusu afu akasema lola leo ndio nimekuelewa na leo ndio umejipatia tiketi haswa ya unachokitaka nimempenda sana huyu mtoto.mmh nilistuka mara simu ya aunt iliita akanyanyuka akaenda kupokea pembeni mara akaniita akasema huyo baba aliekupenda nsio bosi anaehusika na vitengo hivyo yuko ofisi ya rais nakuomba usiniangushe utembee nae na ujibebishe tafadhari,niakasema aunt mbona unanifanyia ivo mimi si nipo nanjordani jamani?akasema usiniuzi manka usiniuzi kabisa kwani jordani ni wa kwanza kwako?mbona una roho mbaya wewe yani kumpa huyo baba uo uchi unisaidie unaona shida sana kwani anaondoka nao?usinitibue nenda uko kajibebishe,niliumia nikarudi kwa lile jibaba nilijitahidi kunywa sana pombe nikajibebisha usiku nilienda kulala na Yule baba huku tukimdanganya Jordan kuwa tumesafiri na aunt.wale wababa walikaa weekend nzima na mimi nilikua nae Yule mr masasi bahati nzuri alikua anatumia kinga na ana kibamia pia bao moja chalii la pili hadi avute sana muda napo hakawii anamaliza wakati aunt akiwa na mr Benjamin yani alifanya mambo ya ajabu mbele yangu ndipo nikaamini aunt ni mdangaji.masasi aliniambia anaenda dar ila nisimtafute mana mke wake mkali hivo natanitafuta yeye.tulirudi na aunt nyumbn huku aunt akiw aananisifia sana na ananiita shoga angu mimi niliku anajiona mchafu sana.nilikua busy sana na mzee kiasi nilikua nimefunga simu kwa sababu aunt alisema ivo niliona niwashe sasa baada ya kufika nyumbn ndipo nikakutana na msg toka kwa troy inasema ‘’nilikupenda sana nikakuamini na kuwa tayari hata kugombana na mama yangu sababu yako lkn sikujua mtu naempenda ni Malaya sana na mdangaji yupo tayrai kutembea na mtu yoyote sababu ya pesa.manka najuta kukupenda na najuta kukufahamu kuanzia sasa nakutoa moyoni sikutaki na sitokaa nikutake tena endelea na maisha yako ila hutokuja pata mwanaume aliekupenda kama mimi”nilistuka jmn kuna nini kajua nini?nani kamuambia?nilihaha nilidata nikapiga simu ikapokelewa na mwanamke akasema we manka kwani hukupata ujumbe?mbona bdo unamsumbua bby wangu bana?tuache tulale ukome kupiga hii namba kahaba mkubwa wee……itaendelea

Comments