MANKA 04




 

πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•MANKA


Sehemu ya 4


Mmh nilishangaa nikatabasamu kisha nikasema asante mheshimiwa akasema naitwa Jordan nikasema asante mheshimiwa Jordan akacheka akasema niite tu Jordan au mi mzee sana manka? nikasema hapana sawa nitakuita jordan. Akasema nice haya kaa basi mrembo nikavuta kiti cha mbali mana meza yake imekaa kama T kuna yake na ingine imeka kiurefu akasema unaogopa eeh, nikasema hapana akasema sogea jirani tuongee kirafiki mana mimi nina shida nikasema sawa nikasogea akasema manka nina ka party kangu ka watu kama 15 hivi nyumbn kwangu unaweza niandalia chakula kizuri sana mrembo wangu nikatabasamu na kushusha pumzi nikasema ndio akasema kwani uko na nani katika kazi yako? nikasema na wenzangu wanne akasema sawa una ofisi? nikasema ndio ninayo akasema ipo sehemu gani?nikamuelekeza akasema ahaa sawa ehe unanipa chakula gani sasa? nikamuelekeza akasema sawa naomba niandalie basi cha watu 15 na vinywaji vipi unaleta mwenyewe? nikasema kwa sasa bado ndio nimeanza na kupamba na kupika tu akasema okay sawa vizuri nikasema sawa asante akasema usafiri huwa unafanyaje?nikasema nakodi gari akasema okay sawa vizuri kumbe nikasema sawa akasema chukua hii business card ni namba yangu ya simu hii binafsi naomba nilinde usimpe mtu nikasema sawa akasema itakua sh ngapi?Nikasema ulichochagua sahani ni sh 12 efu ivo mara 15 ni laki na 80 akasema ooh kumbe safi sana nikasema asante akafungua droo akahesabu pesa akanipa akasema hio pesa yako yote ya kazi leo jumatatu party iko ijumaa naomba na ww uwepo kama mgeni mualikwa sio tu mpishi wetu nikatabasamu akasema si inawezekana wenzio wakaendelea kuhudumia nikasema nitajitahidi akasema sawa. Nikasema asante sitokuangusha naenda akasema sawa nilitoka nikiwa na furaha nikamuaga secretary kisha nikaondoka nilivofika nje nikamkuta aunt lola akanivuta akasema amekuitia nini mkurugenzi mana umekawia mikasema aunt alikua ananipatenda ana party ijumaa anataka chakula usiku, aunt akasema sawa umekubali nikasema ndio na amenilipa yote.aunt akasema Yule mkurugenzi ni mkaksi sana yan kauzu hazoeleki naomba pika vizuri na hata akitaka kitu kingine kwako usikatae mana ukikubali utanisaidia mimi nipande vyeo kazini umeskia.mmh sikuelewa sana kauli ya aunt lkn nikajibu sawa aunt.akasema nakutegemea sana nikasema usijali nitapika vizuri sana, nilirudi nyumbn nikahesabu pesa lkn iliku ni pesa nyingi alinipa laki tatu mmh nikajua hajahesabu vizuri, nilichukua kadi nikacopy namba yake kisha nikampigia kabla sijajitambulish akasema nambie manka nikasema boss umenizidishia pesa akacheka akasema Manka nilikupa na nauli na usumbufu kukuita gafla vile usijali.nikasema asante sana akasema powa siku njema.nikasema asante.siku ya party ya Jordan ilifika yuliandaa chakula kwa ufundi wote niliojifunza na kuzaliwa nao.nilivaa gauni zuri nilipendeza kabla sijakodi gari alinipigia simu Jordan akaniambia kunangari itakuja kutubeba ivo nisikod gari nikasema powa. Tulisubir kwa muda ikaja gari nzuri ikabeba vyakula na sisi kisha tukaondoka nilishaongea na paula kuwa nimealikwa ivo atasimamia show akasema sawa.jordan alikua anaishi nyumba nzuri sana iko kama uzunguni kumetulia ni nyumba ya serikali lkn tulikaribishwa Jordan aliniita akasema niwe karibu na yeye nikasema sawa tulikunywa tukala muda wote niko pembeni ya Jordan japo nilikua nawasiliana na mpenzi wangu troy sana tu ila nilihisi jordn nae ananitaka kwa vitendo vyake alisifia sana chakula japo sikujua hata sherehe ilikua inahusu nini muda wa kuondoka ile gari iliturudisha jordan alinipigia akasema amefurahi sana kuwa karibu na mimi leo nikasema sawa akasema nitafurahi sana siku ingine tukionana nikasema sawa tutaonana tu akasema sawa. Jordan alikua ni kijana tu japo ni mkubwa kuliko troy alionesha tuliongea muda huo aunt amelala kisha tukaagana troy nae akawa ananisumbua niende kwake amenimis ananitumia tiketi ya ndege mmh nikamwambia naagaje nyumbn? akasema aga vyovyote ila uje nimekumis sana nikasema sawa. Jordan aliendelea kunipigia na kunijulia hali kuonana ni shida mana ratiba yake inambana sana anakuwa free usiku sana na mm siwezi kutoka lkn siku moja aliniuliza kama nina boyfriend nikamwambia ndio ninae yupo dar. Akasema ooh vizuri hakuendelea kuchati tena nilimwambia aunt nafikiria kwenda dar nikanunue vitambaa vizuri vya kupambia dar aunt akasema sawa nenda nilifurahi nikamuambia bby nakuja ila natakiwa nirudi na jora nne za vitambaa troy akasema usijali nitakuandalia nikasema sawa nilienda na wala sikufikia kwa kina Diana japo nilimuambia nipo dar nilifikia kwa bby nilikaa wiki nzima nauchezea tu mdude wa kisukuma na baby alikua amefungasha kweli sijui wasukuma wanaumbwaje? baada ya hapo alinipa jora zangu nikaenda kina Diana nikakaa siku nne hapo Jordan ananitafuta tu ananisalimia hajakata tamaa nikarudi zangu mwanza niliendelea na kazi na zilikua zikitokea halmashaur za upishi zote napewa mie niakwa nina vihela na acc ninayo siku moja aunt aliniambia leo nataka tutoke twende zetu sehemu tukakae nikasema sawa tulijiandaa tukaenda hotel tukala huko na kunywa kisha aunt akaniuliza ivi mkurugenzi anakutafutaga? nikasema ndio akasema heee anasemaje? nikasema ananisalimiaga tu na siku moja akaniuliza kama nina boyfriend nikasema ndio ninae aunt akasema mjinga wewe tena mjinga sana ivi unaweza mjibu hivo mkurugenzi?yani nilijua we mjanja manka kumbe bado mshamba looo, nikasema lkn aunt mm kweli nina mwanaume nampenda aunt akasema huyo boyfriend wako ni mkurugenzi?nikasema hapana akasema ni manager wa bank au waziri au mbunge au manger wa kiwanda? nikasema hapana akasema manka acha ujinga wewe ivi unajiona ulivo wewe?hakunaga mapenzi siku hizi ww jiangalie ulivomzuri unapaswa uwe na matajiri sio kimtu tu.nakwambia mapema kabisa achana na huyo boyfriend haraka mkubali mkurugenzi wangu haraka hapo wote tuta win ww utakuwa na maisha mazuri na mm nitakua na vyeo na safari za pesa za upendeleo.nikasema aunt lkn hajanitaka.akasema we unafkir mtu busy kama Yule anakupigia simu mara nyingi ww sababu gani?ebu usijifanye mtoto ww ushakua sa iv changamka.mmh nikamuangalia aunt nikasema labda anataka niishi vizuri lkn sikuwa na wazo la kuwa na mkurugenzi wala niliamua kuwa na troy wangu nampenda sana.tuliongea mengi na aunt na tukakubaliana kuwa nitakua na mkurugenzi nilikubali kiushahidi tu.siku moja nikiwa zangu nyumbn nimepumzika Jordan alinipigia simu akasema asante kwa salamu na sambusa aunt yako amefikisha nimefurahi umenijali manka.mmh nilishangaa mimi mbona sijapika sambusa wala kumsalimia mkurugenzi?nikajibu tu usijali akasema leo nina muda naomba tuonane.nikasema sawa akasema saa 12 nitamuomba ruksa aunt yako.nikasema sawa mmh muda huo huo aunt alinipigia akasema mambo yanaelekea kuiva usiniangushe na mkurugenzi,nikasema sawa.jioni aunt aliwahi kurudi akaniletea kinguo fln akaniambia vaa hiki,mmh kilikua kiguo cha mitego haswaa niakasema aunt hiki mbona kinanibana sana?akasema unatakiwa umvutie aone hiko kishundu chako ahamasike nenda kaoge uvae nikurembe.mmh nilienda nikaoga nikavaa ni kifupi akanichagulia na kiatu kirefu chake akanipa mana miguu yetu ilikua sawa,akanichana weaving akaniremba akasema haya nakupeleka mpaka hotel usiniangushe nikasema sawa aunt.basi nilipelekwa nikaonana na mkurugenzi tuanywa na kula huku stori zikiendelea,Jordan akasema pole kwa kuachana na boyfriend wako.mmh nilistuka akasema najua unajiuliza nimejuaje lkn usijali aunt kaniambia na nimefurahi ujue nakupenda sana manka naomba nizipe nafasi ya huyo aliekua boyfriend wako tafadhari nitakupa kila unachotaka nitakuheshimu na kukupenda ukikubali hata nitakuoa manka nakupenda kweli mmh nilishangaa aunt kumbe ndio aliedanganya niliinama tu chini sikujibu chochote Jordan akanisogelea akasema manka naomba nikubali naomba mpnz.nilimuangalia na sura yake ya upole hakuwa handsome wala nini ila ni mtu anavutia sijui sababu ya pesa na uvaaji ila hakunistua hata kidogo.nikasema naomba nipe muda nitakupa jibu jordan aliendelea kunibembeleza na mm niliendelea kuwa na msimamo akakubali.mida ya saa sita akanirudisha nyumbn akaondoka.aunt aliskia geti nadhani akaamka akasema wewe umerudi kwa nini? mimi nilijua uko kwa bosi wangu unampa penzi sa ivi?niaksema aunt tunaenda taratibu aunta akasema ivio unanitania? ebu potea hapa sijui ukoje akanyanyua simu yake naona akaongea na Jordan mara aunt akanifata chumbn akasema wewe kwani uko blid nikasema hapana akasema sasa kesho utamkubalia bosi wangu na utaenda kumpa hio kuma sawa usinitanie manka nadhani unajua wapin nimekutoa yani unashindwa kunisaidia kwa hili?kesho utaenda lala ane vinginevo hatutoelewana,nikasema sawa nililala nikiwaza ina maana aunt anataka mimi nikalale na nisiemoenda sababu ya mambo yake? aliniokota sababu hii au?niliumia lkn sikua na jinsi kesho yake nikamkubali jordani jioni alituma dereva anifate ilikua jmosi aunt akanipa cheni akasema nivae na nikampe penzi haswa huku nikimwambia kama ananipenda eti awe anampa aunt yangu safari za malipo na vyeo.nikasema sawa. Nilienda kwa Jordan nyumbn akanipokea vizuri tukala vizuri kisha tukaanza kutiana sasa Jordan alijitahidi alikua romantic sana nikajikuta naenjoy nilikaa natumika na Jordan hadi jumatatu mida ya saa nne dereva wake akanipeleka nyumbn japo mm sikusema mambo alionituma aunt. Nilipofika nyumbn nilimkuta aunt akanipokea kwa shangwe akasema safi sana mpnzi wangu hapa nimepata safari kesho napanda ndege naenda dar kuhudhuria kikao cha siku tatu na narudi na ndege safi sana yani tutafika mbali lkn pamoja na hayo mwanangu nae kaja gafra yupo ndnai ngoja nimuite msalimiane,mikasema sawa akaita maxx we maxx nikaskia sauti ikisema sema.aunt akasema njoo Yule kaka akwa nakuja akasema mama nilishakataa hilo jina huskii unaniboa akawa ashafika seblen uwiii ni troy jmn nilistuka troy nae alistuka kuniona aunt kasema haya nimeskia troy huyu ni mdogo ako anaitwa manka na manka huyu ni mwanangu wa pekee ni kaka yako kabisa anaitwa troy au max……itaendelea



Comments