MANKA 03



 

πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•MANKA


Sehemu ya 3




Nilipigwa butwaa lkn niliskia raha cha ajabu nilibaki nimeduwaa tu Yule kaka akaniachia afu akasema malipo yangu ya kukusaidia hayo japo bado nataka malipo zaidi. Nikasema yani ww sikujui umenibusu afu unataka malipo eti akasema unaongea kwa nguvu ili jamaa ajue uko singo sio? yule kalewa angekudhalilisha hapa ungekoma haya sema asante mtoto mzuri niliona haya nikapewa vinywaji vyangu nikaanza kuondoka akasema jamaa Yule pale nje au hujamuona niombe twende wote bby nikacheka nikasema yani wewe mkaka wewe sijui upoje haya twende. Akasema nimbembeleze sema bby naomba twende nikasema sitaki ww sio bby wangu, akasema mm ndio bby wako kwani hukuona nilivokubusu ulivokua unatetemeka?nikasema toka hapa niache akasema sasa mbona unataka kudondosha simu yako ebu ngoja nikushikie kabla sijajibu akaivuta akaiwasha na siwekagi password akaiangalia akaanza kuandika namba mara simu yake ikaita akaitoa kwenye kaptula yake akasema nishasev namba yangu kwako, nikasema umesev vipi? akasema utajua tu nikikupigia nikasema jmn ww sasa si uniambie akasema bye bana nitakupigia, nikacheka nikarudi walipo kina Diana nao walikua wamekaa kwenye tuvitanda wanaota jua mie nikawa nacheka tu huku narudi Diana akasema shoga angu umefurahi nini mbona unacheka peke ako?nikasema yani nimekutana na mkaka wa ajabu jmn Diana akasema wa ajabu ana pembe au jicho usoni? niakasema we acha tu yaani nikamsimulia ilivokua akasema woow so romantic jamn kwa io shoga angu umebusiwa leo na hujawahi ulijiskiaje? (mi na Diana tulishakua mashost sana hivo kwa muda tulioishi tulishaambiana kil kitu kuhusu mahusiano yeye tayari alishakua na boyfriend wake kitambo tena mpaka namjua ameshakua nao watatu)nikasema mmh siwezi jielezea ila nilitamani asiache akasema yupoje? mzuri eeeh,nikasema mmh ni mrefu afu mweusi flan kapanda hewani akasema ehee anaonekana mzuri na kifua je? niasema kipo kipo akacheka akasema sasa je hizi ndo sehemu za kukutana na watu hizi vipi anaonekana anazo eeh niaksema amevaa vizuri na ana simu nzuri labda anazo kama hajaazima Diana akasema mskilizie huyo ila usimwambie felicity anatabia ya kuiba wanaume za wenzie (muda huo felicity alikua pembeni anaongea na simu) nikasema sawa basi tulipiga story huku tukinywa bia mana aunt lola alishanifundisha kunywa bia Diana alinisimulia alivokutana na boyfriend wake huyu wa tatu ilivokua kama movie basi tunacheka sana mara msg ikaingia kwenye simu yangu nikaifungua jina limeseviwa my love mmh nilishngaa nikajua ni Yule mwehu ameandika natamani kukuona sitaki kukuharibia pozi na wenzio hapo njoo basi kaunta tena bby nikacheka Diana akasema nini nikamuonesha akasema nenda dia safari hii mpige na picha nije ni mthaminishe nikasema sawa nikaenda nikamkuta kaunta amekaa alivoniona akasema nilijua huji mana ww kasumbufu sana nikacheka nikasema kwa nini umejisev vile? akasema nitakuambia siku ukinipa muda wa kuwa na ww mahali peke etu tukinywa kama unavofanya sasa na wenzio pale ila siku io tuwe mimi na wewe tu.nikasema mmh mi sikujui bana siwezi kuwa peke angu akasema unaniona tapeli au jambazi mimi? shika kitambulisho changu hiki basi akanipa nikaangalia anaitwa troy willium nikacheka akasema unacheka nini sasa ujue mimi siwezi jieleza sana lkn kusema kweli umenivutia sana japo sikujui ila nilivokuona tu msukuma mimi nilikupenda sana japo hata jina sikujui.nikacheka nikasema wewe ni muongo unampendaje mtu humjui?akasema ndio najishangaa sasa naomba basi tafuta siku tuongee mama mana najua leo uko na rafiki zako sitaki kuchukua muda wenu sana nikasema hata nitakuambia akasema nitakusumbua sana ukichelewa kuniambia jmn nakupenda sioni hata aibu nikacheka nikaondoka akanivuta tena mkono akanikumbatia akasema naomba basi hata niambie jina lako nikawa napumua kwa nguvu akasema pliz nakuomba mtoto mzuri nikasema nikikuambia utaniachia? akasema ndio niasema naitwa manka mushi akasema nimependa mchanga mie daaah asante Manka.

Nikasema haya niache sasa akaniachia nikaondoka mara nikashangaa mhudumu ananifata na try limejaa vinywaji akaleta mpaka tulipo Diana alifurahi akasema huyo ndio mwanaume sasa na ukitaka upate wenye pesa usijifanye mrahisi na usijifanye maskini ukiwa mbahili unakunywa vitu vya bei nafuu utapata wa kufanana na wewe lakini ukiwa classic utapata classic feli akasema vimetoka wapi hivi? diana akasema we kunywa jmn da feli maswali ya nini?tukacheka troy aliendelea kunichatisha muda wa kuondoka ukafika tukaondoka zetu.baada ya hapo niliendelea kuchat na troy na nilikua busy na tenda za mama Diana ivo kila akipanga kuonana mie nakua busy lkn alikua mvumilivu tu kaka wa watu aliendelea kunipenda katika msg hadi mwezi ukapita nikapata nafasi nikamwmbia sasa tuonane akasema chagua mahali nikachagua samakisamaki mana niliwahi pita sikuenda pale mlimani city,nilimuaga Diana akasema nakupeleka usijali nikasema sawa.nilichagua nguo matata na kakiatu karefu na nilishonea kaweaving kafupi sababu ya joto dar marefu yalikua yananikera Diana akanipeleka hadi samakisamaki nilikuta troy ashafika tulionana tukapiga story akaomba jibu lake sikuona sababu ya kumkatalia au kumzungusha sababu nilishampenda tulikaa pale kuanzia saa nane mchana hadi sa 12 akanirudisha nyumbani kabla sijashuka akanibusu afu akasema nakupenda sana mchaga wangu, nikasema nakupenda pia msukuma wangu tukabiana kisha nikashuka troy alikua anacare sana nilijiskia raha sana kuwa nae, basi Diana akaniuliza umbea nikamsimulia nikasema kwa sasa am official girlfriend wa msukuma, Diana akasema wewe wasukuma wanakuaga na mizigo nakwambia shauri yako nikasema mizigo gani tena? akasema wanakuaga wamefungasha dudu kubwaa utaimba nakwambia.nikacheka nikasema mbona unanitisha akasema we utaona nikasema kwani lazima kufanya jamn? akasema wee sa unafkiri anataka nini kwako? au anavokubusu huskii chini kunanyevua na kuloa huko? jiandae kuliwa soon bby utaingizwa mjini nilicheka sana niliendelea na mahusiano na troy kila nikipata muda natoka nae tunaenda sehemu mbalimbali kutembea siku ingine akanipeleka kwake kijitonyama amepanga apartment ina vyumba viwili vya kulala na sebule na jiko pia vyote vyumba ni self amejitahidi ndani pazur mwenyewe hapana hekaheka nyingi ila pasafi hatukukaa sana mana nilikua na haraka siku moja akaniomba akasema wenzie wana party usiku ivo anaomba nimsindikize, nikasema sawa ngoja nitafute uongo wa kudanganya nyumbn akasema sawa nikamwambia fundi mitambo Diana akaniambia atamaliza nisiwe na shida. Diana akamwmbia mamake kuna safari tour na wenzie ivo anaomba aende na mimi, mamake hakubisha mana tulikua tunachapa kazi sana na hakukuwa na tenda zaidi ya kupika tu katika mgahawa wake wa kisasa nilimjibu bby kuwa tutakua wote Diana akanipeleka shopping na salun ili nisitie aibu mida ya jioni tukatoka nyumbn na Diana yye akaenda kwa bby wake na mie wangu mana si nilikua tyr napajua kijitonyama ivo niakaenda tu.bby alinisifia nimependeza nae akaoga akavaa tukatoka na gari yake hadi kimara kwa rafiki yak huyo tulifika tulikuta watu washafika na party imeanza walichoma nyama na bia za kufa mtu troy alinitambulisha kwa wenzie nikajiskia sna raha party iliendelea mpaka saa tano usiku tukahamia club maisha kipindi hiko mida ya saa nane nilichoka nikaomba kwenda kulala troy hakubisha tukarudi zetu nyumbn, tulipofika tu nikaomba kuoga niliingia na nguo bafuni nikatolea huko na kuanz akuoga eti naona aibu,nikiwa nishajipaka povu nikahisi nakumbatiwakwa nyuma huku mikono inashika matiti mmh nilisisi raha ya ajabu nilifunga maji tayr bomba la mvua niliogesha nae akaoga kisha akanishika mkono hadi chumbn nikafutwa maji kisha nikalazwa kitandani, uwii nikakumbuka maneno ya Diana kuwa wasukuma wamefungasha nilitamani nione lkn macho nilikua kama teja nimelegea hayafunguki vizuri bby alicheza na mwili mshowe akanitoa usichana wangu tulifurahi sana akasema manka umekua wangu sasa kabisakabisa mi nikacheka tu.tulilala huku nimekumbatiwa nyumba uzuri ilikua na feni kulikucha nikadinywa tena na tena rahaa ilioje hadi nikajisemea nilikua nachelewa wapi.troy alinipa ahadi nyingi sana za kutulia na mimi na kunipenda.hapo ndio mapenzi yetu yalizidi kupamba moto nilikaa miezi miwili aunt lola akasema nirudi sasa mwanza sikua na namna nililala nab by kwanza kisha nikarudi mwanza Diana akiwa anasikitika sana lkn troy alisema atakuja tu mwanza mana ana ndugu Mwanza nikasema sawa nilifika mwanza nikiwa na pesa nyingi tu aunt akasema nina mpango gn nikasema nitatafuta nyumba ya kupanga ya kufanyia kazi zangu nitanunua vyombo vichache kisha nitakua naazima hadi nipate vyangu, aunt akasema fanya haraka mana wiki mbili zijazo kutakua na semina halmashauri huko wa wiki mbili nitaibana mana mimi si nafanya kazi pale ivo itakua rahisi utakua unalisha kuanzia chai mpaka chakula cha mchana nikasema sawa aunt asante.nilimtafuta shoga angu paula nikaonga nae tukatafuta dalali akapata nyumba ya vyumba viwili na jiko ila sebule kubwa tukaipenda nikalipia tukanunua vyombo vya chai kwa idadi alioniambia aunt na chupa za kisasa za chai.majiko na mahotpot makubwa nikaishiwa pesa aunt akaniazima nikaongeza sahani na vijiko na vitu vidogo dogo nilivohitaji.alisema ni mkopo nirudishe nikasema sawa.siku zilifika nikalipwa advance kazi ikaanza tulijitahidi kupika msosi wa watu 25 hapo paula aliomba wasaidizi watatu tukawa watano chakula chetu kilipendwa sana.tulipika semina ikaisha salama  siku moja nilipigiwa simu namba ngeni nikaambiwa nahitajika halmashauri kw amkurugenzi mmh nilistuka nikafanya chap nikamwmbia aunt lola akasema nenda nikaenda nilivofika nikaambiwa na secretary nipite nikapita nikamkuta mkaka ivi amekaa akasema karibu wewe ndo manka?nikasema ndio akasema safi sana ndo mana chakula kilikua kitamu sana kumbe kinapikwa na msichana mbichi na mzuri sana,tena mzuri kuliko hata kwenye picha ……itaendelea



Comments