💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
MANKA
Sehemu ya 1
Kwa majina naitwa Manka ni mzaliwa wa kwanza katika familia ya mzee Mushi ilio na watoto watatu. Sijui nini kilitokea kati ya baba na mama yangu mzazi mana waliachana nikiwa mdogo kisha baba akaoa mke mwingine mmachame ambae ndio walizaa watoto wengine wawili tukakamilika kuwa watatu katika familia ya mzee wetu mama yangu sijui alienda wapi baada ya kuachana na baba na hakuwahi hata kunitafuta tena mimi tokea ameniacha hivo sikuwahi muona tena hata sura yake nilishaisahau na nyumban hakukuwa na picha yake hata moja. Maisha yangu hayakua mazuri sana kuishi na mama wa kambo kwani alikua ananitesa sana. Nikiwa na miaka tisa tu nilikua nafanya kaze zote za ndani ikiwemo kufua nguo za wadogo zangu kuwaogesha na kulisha ng'ombe na kutafuta majani kabla ya kwenda shule nilikua nafanya kazi zote ivo nawahi sana kuamka na kuchelewa kulala kiasi kwamba shule niliambulia kujua tu kusoma na kuandika lkn masomo nilikua nafeli sina muda wa kusoma mimi wala kuskiliza mana nasinzia na kuwaza mateso nyumbn nikiwa darasani chakula nilikua nakula makombo yanayobaki baada ya wao kushiba ndio nakula tena jikoni au nakula maharage au dagaa au mboga za majani wakati wao wanakula kuku au nyama hata samaki, nilikua napigwa kwa vikosa vidogo vidogo hata vya kusingiziwa na wadogo zangu na cha ajabu baba alikua hasemi kitu japo yeye alikua mtu wa safari safari sana. Nilizoea hayo maisha ya kuwa mfanya kazi wa ndani huku nikisoma mana sikua na kwa kwenda wala wa kunisaidia nilikua sina ndoto kabisa maishani. sikuwa na nguo nzuri wala viatu vizuri nilikua navaa tofauti kabisa na wadogo zangu wako wanapendeza nguo za dukani wanasukwa vizuri wanavaa chupi na viatu vizuri ila sio mimi na nilikua nikimwambia mtu matatizo yangu napigwa kipigo cha mbwa koko nilikua mpweke sana niliona maisha machungu nanyanyasika kama siko kwenye nyumba ya baba yangu nilikua kama yatima lakini yatima kwenye wazazi. Maisha yaliendelea hivo hadi nikamaliza darasa la saba nikiwa sarasani nafanya vibaya sana japo najua kusoma na kuandika na kuhesabu nilikuwa mpole na mtiifu sana heshima pia nilikua nayo Sana kubwa tu.
Siku moja mama alinituma sokoni ilikua jioni hivi nilikimbia kama kawaida yangu mana nikitumwa mama akasema natema mate kwenye jani yakikauka hujarudi utanitambua hivo natoka mbio mbio ,nikanunua vya kununua kisha nikawa narudi zangu mbio tena sasa nilipokua njiani nilikutana na mama mmoja mnene hivi mweupe na mrembo sana mana alikua amevaa dhahabu pia alivaa suruali ya kubana hivi fupi nadhani ndio pedo ya jeans na cheni kila mguu(vikuku). Aliita akasema we mtoto we mtoto mana nilikua spidi nikaitika abee akasema hujambo? Nikasema sijambo shikamoo. Akasema marahabaa, naona una haraka lkn nina shida mtoto mzuri ninaomba kuuliza mana nilikuja zamani sana huku nimesahau kabisa njia na watunwamejenga sana sa ivi kunanipoteza unamfahamu mzee temba ni balozi huku? Nikasema mzee Temba? ndio namfahamu anaishi mtaa wa pili kule sio mbali sana na hapa, akasema mtoto mzuri jamani unaweza nipeleka mana mimi ni mgeni nitazidi potea nimekuja toka mbali sasa njia sijui. Nikajibu bila kufikiria wala kukumbuka mama Nyumban kuwa ndio naweza kukupeleka mara moja. Akasema asante basi twende kwenye gari ile pale unipeleke mpenzi ww utakaa mbele uwe unatuelekeza sawa. Nikasema sawa. Tulienda kwenye gari ilikua na dereva mimi nikakaa mbele nikawa nawaelekeza njiani hadi tukafika. Tulishuka kisha Niligonga kwa mzee Temba sababu kuna mwanae nilikuaga nasoma nae ilikua rahisi kupafahamu na kukaribishwa mana ndie aliefungua mlango kisha nikasema nimewaleta wageni hawa hapa wakasema asante manka karibuni jamni, wakawakaribisha kumbe ni ndugu wakakumbatiana na kusalimiana vizuri sana. Mie nikakumbuka nyumbn huko mmh Nikaaga kuwa naondoka yule mama akasema unaitwa nani binti mzuri? Nikasema naitwa Manka akasema asante sana chukua zawadi hii akanipa noti ya sh elf 10 nikakataa akasema chukua bana nimekupa kwa upendo tu .nikasema hapana nimekuleta tu sio unilipe Akasema we mtoto nimekupa kwa upendo sio malipo nakuomba upokee mtoto mzuri pokea ukanywe hata soda usipopokea utanifanya nijiskie vibaya sana nikaona umenidharau. Mmh dharau tena. Jamani? Nikasema sawa asante nikaipokea kwa mikono miwili. Yule Mama akasema niite aunt lola, nikasema sawa asante aunt lola akasema usijali aunt yangu mzuri dereva atakupeleka hadi kwenu sawa. Nikasema hapana nitakimbia tu haina haja ya dereva mbona. Akasema Manka mimi ndio nimesema. Dereva ebu mpeleke mtoto mzuri kwao. Mzee temba alinishukuru mwanae akanisindikiza hadi kwenye gari kisha nikapanda tukaagana nikaondoka kurudi nyumbn. Dereva alinishusha getini kabisa (kulikua na geti la bati ) sasa kumbe mama alikua nje sijui anaangakia nini ile nashuka mama huyu hapa akasema eheeee eheeeee weweee ebu njoo hapa kuja kujaa hapaaaaa heeeheeeheee mtoto unamambo wewe mtoto mshenzi wewe mtoto laana wewe. Gari ikawa imeshaondoka mama akasema nani yule kakushusha hapa? Na tokea nimekutuma kilichokuchelewesha ni nini? Sogea hapa unieleze vizuri mshenzi mkubwa wewe unataka uniletea majambazi nyumbn kwangu si ndio? akanichukua mzobemzobe hadi chumbn kwangu nilikokua nalala kwenye kagodoro kakuu kuu akaniambia toa nguo hizo mshenzi wewe umeanza umalaya leo utanitambua nilijua tu muda si mrefu utakua Malaya kama mama yako ndio mana aliachika toa nguo nimesema umalaya upo damuni nyie. Nikasema samahani mama naomba nisamehe mama sijachelewa makusudi mama kuna mama aliniomba nimpeleke kwa mzee Temba balozi ndio nilikochelewa nilimpeleka. Mama hata tukienda kwa mzee temba kuuliza nisamehe mama kwa kuchelewa sirudii. akasema kelelee mshenzi wewe usinitanie alinisogelea akanipa kipigo cha haraka kwanza mangumi ya mgongo vibao vibao huku ananitoa nguo kwa haraka. Nilikua nina chupi iliochakaa nayo akaichana kuimalizia kisha akanisukuma akanilaza kwenye godoro akanipanua miguu huku ananifinya mapaja akasema panya miguu huko ona uchi unanuka nongo Malaya mkubwa wewe hujui hata kunyoa alianza niingiza kidole huku kunako k niliumia sana sikuwahi fanya hivo afu akasema umetoka kufanya wewe si ndio?umetoka kutiwa Malaya mkubwa unawajua wanaume wewe uko wazi huko chini Nikasema mama mbona sijafanya kitu akasema kelelee leo utanikoma akaita kezia wee kezia(mdogo wangu) leta fimbo haraka, yule mdogo wangu alileta bonge la fimbo nilichapwa sana uchi huku nikiitwa Malaya nimetoka kulala na wanaume wakati simjui mwanaume na mwanaume gani atanitaka mtu hata nguo za kuonekana sina nikitokea kama kichaa nguo zimechakaa, nilipigwa mno uchi huku natukanwa. Mara baba akawa anakuja tunamskia anaita nje anasema mama kezia uko wapi? Mama alitoka nje akamdaka baba juu juu nikamskia anamsimulia akasema mwanao nilimtuma tokea asubuhi ndio anarudi sa ivi katoka kulala na wanaume nimemcheki ni mishahawa tu imejaa baba alisema yuko wapi? Akasema chumbn kwake baba alikuja akakuta nimejifunika shuka langu chakavu akasema umeanza Lini umalaya? Umefata kwa mamako eeh leo nakuua mshenzi wewe nilipiga magoti nikasema baba nilikua kupeleka mgeni kwa mzee temba sikuwa na wanaume mimi siwajui wanaume mama akasema huku kanisogelea na kibao uongo na hizi vumbi akachukua gauni langu akalikung'uta ikadondoka elf 10 akasema ehee unaona unaona kapewa na hii analazwa vichakani huyu nimemchek ametumika unakataa ili mme wangu aseme mimi muongo lione vile akanizaba tena, baba alitoa mkanda wake bila huruma alinipiga sana mwishowe akasema toka kwangu nisikuone nenda kwa hao wanaume zako malaya mkubwa wewe ondoka. Nilitoka na shuka nilisukumwa nje huku napigwa niliomba msamaha nikaomba twende kwa balozi wakaulize lakini sikueleweka hapo mida ya saa moja tayari nimeivaa na nilivomweupe nina maalama ya fimbo vifinyo na mikanda nikawaza naenda wapi sasa? Nilipata wazo niende kule kwa balozi nikamuombe yule mama aunt lola aje anitetee kwa mama na baba. Nikitembea huku nikilia hadi kwa balozi nikagonga akaja kufungua balozi mwenyewe alistuka baada ya kuniona na shuka akasema wewe si ni Manka? Nikasema ndio akasema vipi mbona unalia? Pita ndani nikapita nimejifunika shuka aunt lola Akasema manka kulikoni mbona uko hivo? Niliendelea kulia bila kusema chochote akaja akanikumbatia akasema nambie aunt yangu nini shida? Nikasema nilivorudi mama amesema nimetoka Kwa wanaume amenipiga na baba wamenifukuza naomba unisaidie twende ukawaambie ukweli ukasema nilikusindikiza wewe mimi sina ndugu sina kwa kwenda sina mama. Aunt lola akasema jamani pole mpnz usilie twende nitawaelekeza wataelewa tu we twende. Tukatoka pale na dereva na aunt lola. Pamoja na mzee temba hadi nyumbn. Tulifika wakagonga baba alifungua mlango hakutukaribisha ndani akasema shida yenu balozi akasema tumekuja tukaribishe ndani basi kama muungwana sisi ni wageni wako. Akasema kama ni jambo linalomuhusu huyo Malaya sihitaji kuskia najua amekuja kwako amejiliza kukuomba uje umtetee nimemchoka aondoke akamfate mamake huko mimi simtaki nyumbn kwangu mamake nilimfukuza sababu ya umalaya wake nilimfuga sana akanidhalilisha sasa na huyu paka anataka kunidhalilisha noo asije haribu watoto wangu wengine bure nimechoka na umalaya wake nimechoka na tabia zake kila siku yeye anatunyima raha simtaki naomba mnielewe kama mna shida nae ishini nae nyie mie nimenawa mikono huyo sio mtoto wangu naombeni muende muondoke aunt lola alishangaa baba akafunga mlango balozi aligonga tena baba akasema nakuheshimu sana mzee temba lkn hapa ni kwangu naomba uondoke tuligeuza tukaondoka hadi kwa mzee temba nikapewa nguo za za goreth(mtoto wa mzee temba) nikavaa nikapewa chakula kizuri nilikua kama mkimbizi kisha nikaoneshwa kwa kulala na goreth keaho yake walienda tena kwa baba akasema hanitaki aunt lola akasema sawa mimi nitaondoka nae lkn tuandikishane usije sema nimeiba mwanao baba akasema sawa walienda kwa mtendaji baba alinikana na kumpa mamlaka aunt lola ya kuishi na mimi tulikaa Moshi wiki moja kwa mzee temba kisha tukaanza safari ya kwenda mwanza anakoishi aunt lola....itaendelea
Comments
Post a Comment