"Mlipe pesa Bodaboda kisha Muingize Msichana ndani, muelekeze majukumu ni Msichana wa kazi" Sam alipokea hela akiwa anatetemeka, mlango ulifungwa. Sam alirudi getini akampatia pesa Bodaboda kisha akamwingiza yule Msichana ndani, jinsi alivyomtazama Msichana huyo alionekana kua na Miaka si zaidi ya 16.
Alitekeleza maelekezo ya Bosi wake akamueleza yule Binti majukumu yake kisha akamuuliza jina lake
"Naitwa Natia" alijibu Binti huyo, Sam alitabasamu huku akimtolea macho na kummezea mate, mara zote alikua akishinda nyumbani peke yake hivyo ujio wa Msichana huyo aliamini atapata Mtu wa kupiga naye stori pindi Mwamvita anapoondoka, lakini pia aliyatazama Maungo ya Msichana huyo aliona wazi kua alikua kuku wa kienyeji hivyo kama njia ataitengeneza yeye.
"Chumba chako ni hiki hapa Natia, kua huru bafu iko humu humu, bosi wako amelala akiamka mtaongea" alisema Sam akiachia tabasamu lililomfanya Natia ajisikie aibu kisha Sam aliufunga mlango na kurejea kibaruani, hakuacha kufikiria tukio la Usagaji aliloliona kwa Bosi wake, akapata utulivu na kuyafikiria maungo ya Bosi wake na yale ya Mage, hakika alihema na kukubali kua Dunia yao iko tofauti na Dunia yake.
***********
SHULENI KWA ROSE
Usiku ulikua umeingia, alikua chumbani na rafiki zake akawaeleza namna ambavyo Likizo yake ilienda vizuri zaidi, marafiki hao walibakia kinywa wazi wakimsikiliza namna Rose alivyomsimulia Sam mbele yao, walimsogelea na kuacha vitabu walivyoshika, stori hizo ziliwapa hamasa ya kusikia zaidi.
Comments
Post a Comment