SAM 09


 

"Mambo Rose" alisalimia Sam akipikicha macho yake

"Powa, sitaki kuamini yaani umelala hadi muda huu saa tatu. Nilikuchosha sana eeeh?" Aliuliza Rose akicheka, Sam alishtuka akachungulia kwenye maegesho hakuliona gari la Mwanvita

"Ina maana nimelala hadi sasa hivi? Oooh Mungu wangu, Dada Mwanvita kaondoka?" Aliuliza akiwa amesimama

"Ndio kwani hukumfungulia geti?"

"Ndio, unajua jana nimechelewa sana kulala sababu Dada yako alirudi akiwa amelewa aliletwa na marafiki zake, mara akawa anatapika nikafanya usafi, niliporudi kujiegesha ndio naamka sasa hivi" alielezea Sam

"Aaah ni kawaida yake, kama ulimfanyia yote hayo hawezi kukasirika. Ngoja kwanza nikupikie chai" alisema Roee kisha alirudi ndani.


*************

Ndani ya Ofisi ya Mwanvita, mbele yake alikua ameketi Mage akiwa anachezea simu. Mikono ya Mwamvita ilikua ikiandika jambo

"Nikikumbuka jana naishiwa pozi" alisema Mage akiwa anacheka, walikua ni Wadada wenye umri wa miaka 32. Mwanvita naye alicheka sana. 

"Masikini yule Mlinzi alikuhangaikia sana, nilikwambia twende tukanywe nyumbani kwangu hukutaka" alisema Mage


"Jana nilikua na hamu ya kunywa baa, kwako tungeishia kusagana tu Baby" akasema Mwamvita akimtazama kwa tabasamu Mage.

"Kwani kuna ubaya gani na sisi ni wapenzi"

"Jana nilikua na hamu ya kunywa, tusagane leo Usiku" 


"Hamna shida mpenzi" alijibu Mage kisha alitabasamu, hii ndiyo ilikua sababu ya Mwamvita kuachana na mpenzi wake Mzungu, aliingia katika ulimwengu wa kusagana, ulimwengu ambao ulimfanya asikie raha sana kuliko kua na Mwanaume. Basi usiku ulipoingia Mwanvita aliwaambia Rose na Sam kua asingerudi hadi kesho yake, haikua ajabu kwani kuna wakati alikaa hata siku tatu pasipo kurudi nyumbani.

Comments