JAMES WA FACEBOOK 26 - 30


 

 JAMES WA FACEBOOK ๐Ÿ’‘ 26


Akaingia chumbani huku akijisemea 

“Nitatafuta Maisha, sitaki kua mzigo wa lawama kwa Mama yangu, najua huko aliko ananitafuta” alisema akiwa amejilaza kitandani, Ramla alikua akiishi Maisha mazuri mno.

Mlango wa chumba cha James uligongwa, James akaruhusu mgongaji aingie ndani, alikua ni Msichana wa kazi wa Ramla alikua amemletea Mashuka James, alipoondoka James alijigalagaza pale kitandani kama Kambale, huku akizidi kutabasamu.


Taarifa ya kutoroka kwa James ilizagaa kijijini Nzale, kila aliyesikia alitikisa kichwa chake na kujiuliza kwanini James alimtendea hivyo Mama yake.

Upande wa Mama yake James aliona huo ulikua ndiyo mwisho wa Kijana wake, alifikiria ni Afadhali angetoroka kwa ajili ya kutafuta Maisha na siyo kwa ajili ya Mwanamke.


Hakulia tofauti na wengi walivyofikiria bali alisubiria kuona kama James angelirejea.


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°

JAMES WA FACEBOOK ๐Ÿ’‘ 27


“Umeamkaje Betrody?” aliuliza Ramla akiwa ameingia chumbani kwa James, ilikua ni asubuhi ya siku iliyofwata.

“Salama Dada Ramla, kuna uhafadhali zaidi leo” 


“Nami natamani iendelee hivyo maana kwa jinsi nilivyokua nimechanganikiwa ile siku ya ajali, nilijua nimeuwa” 

“Ahsante sana Dada kwa kujali, Mungu amekupa moyo wa kipekee sana” Basi Ramla alitabasamu, mara mlango ukagongwa na Msichana wa kazi wa Ramla

“Ingia” Msichana alipoingia akamwambia Ramla

“Dada Suzy kaja kumwona Mgonjwa”


“Haya mwambie aje” alisema Ramla, dakika moja baadaye Suzy aliingia chumbani. James alipomwona Suzy alishtuka sana, hakutegemea kama angelimwona.

Yeye Suzy ndiye aliyekua sababu ya yeye kutoka Iringa kuja Dar,


°°°°°°°°°°°°′°°°°°°°°°°°°°°°°°

°°°° JAMES WA FACEBOOK ๐Ÿ’‘ 28


kupoteana naye ilikua ndiyo sababu ya yeye kupata ajali hiyo iliyomfikisha hapo alipo, macho ya James yalimhakikishia kua aliyemwona ndiye aliyekua akiwasiliana naye lakini Suzy asingeliweza kumtambua James kwasababu hakuwahi kumtumia picha zake Halisi


Hakuna aliyetambua kua James alikua ameshtuka na alijitahidi kujizuia ili kuepusha mgongano wa fikra, Suzy akaketi kandanda na kumwuliza James

“Hali yako inaendeleaje sasa hivi?” James akajiweka vizuri ili asioneshe dalili yoyote ile.

“Naendelea vizuri sasa Hivi Dada yangu”

“Ni jambo la kumshukuru Mungu maana Mh”


“Ni Mungu pekee anayepanga kila jambo Dada” macho ya James kuna namna hayakuamini kabisa kama alikutana tena na Suzy, alimpenda Mwanamke huyo aliyekutana naye Facebook lakini kikwazo kikawa ni Picha zisizo zake alizokua akizitumia.

“Ni kweli Dada”


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


 JAMES WA FACEBOOK ๐Ÿ’‘  29


“Haya ugua pole” alisema Suzy kisha aliondoka chumbani hapo, James akaachwa peke yake. Roho ya James ikapata kutulia kidogo lakini akili yake ilifanya kazi nzito ya kuchakata taarifa, kwanza akajiuliza Suzy anaishi wapi, hakujua kumbe ni nyumba jirani tu yaani nyumba ya pili kutoka kwa Ramla

Alipoonana na Msichana wa kazi wa Ramla akamwuliza


“Anakaa nyumba ya pili ni rafiki mkubwa wa Dada Ramla” alisema Msichana huyo wa kazi, Moyo wa James ukajawa na furaha sana.

Siku zilienda, James akapona kabisa na sasa akawa anasaidia kazi za pale ndani, mwezi mmoja ukaisha James akiwa anazoea mazingira ya pale ndani. Nafsi ya James ilisha athirika na ngonoo hivyo kukaa mwezi mzima bila kupiga puchuu lilikua ni jambo gumu kwake.


Usiku mmoja akiwa anaamini kila Mtu amelala, James akaingia bafuni, nyumba nyingi za Kisasa hasa za wenye hela, bafu hua ndani kwa ndani, basi James akaishika korido ili aelekee Bafuni, alipofika akafunga mlango.


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


amzastories JAMES WA FACEBOOK ๐Ÿ’‘ 30


Mkononi alikua na sabuni, Dudu lilikua limevimba haswa, kwasababu Dudu la James lilikua na sugu kutokana na kusuguliwa sana na Mkono ilisababisha Dudu kuwa kubwa, jeusi. James aliilowesha Sabuni kisha akapaka kwenye Dudu lake na kuanza kulisugua


Hamu ya Mwezi mzima ilimfanya James achanganikiwe, akajifumbia zake macho huku taratibu akiwa anajisugua na kutoa miguno ya hapa na pale  

Bahati mbaya siku hiyo Madam Ramla alimpatia kazi msichana wake asafishe Bafu, kutokana na ubize wa Ramla akakumbuka Usiku huo kwenda Bafuni kuikagua Bafu kama imesafishwa vile atakavyo yeye japo alikua haitumii bafu hiyo, aliposogea karibu na bafu alisikia miguno ya kiume


Moyo wa Ramla ukaripuka kwa mshituko, haraka akili yake ikamwambia kua James anafanya mapenzii na Msichana wa kazi,


JE NINI KITAENDELEA? RAMLA ATAGUNDUA NINI? SUZY NAYE ITAKUAJE ATAKUWA KUWA MGOMJWA NI JAMES?


Comments