JAMES WA FACEBOOK π 11
“James” akaita Suzy baada ya kuona James amekaa kimya kwa kitambo
“Naam” aliitikia James akiwa anazinduka kutoka katika wimbi zito la mawazo na hofu
“Hujafurahi eee?”
“Hapana nimefurahi Suzy, lakini nahofia kama atarudi ghafla itakuaje?
“Hawezi rudi niamini Mimi, ingekua Tunduma sawa huwa anarudi mara kwa mara lakini huko Congo hawezi kurudi ghafla” alisema Suzy kwa kujiamini kabisa
“Sawa lakini nitafikia wapi?”
“Hilo niachie Mimi baby, nitakutumia nauli uje unikune James hadi nitoke Unga. Uninyonye kila Mahali Asssssssshh kila nikufikiriapo nalowesha chup* yangu James” alisema Suzy kwa maneno legevu, James akapandwa na Mzuka akasahau hata kumweleza alichokusudia, wakajikuta wanakojozana kwa simu.
Mapema Asubuhi ya siku iliyofwata James alimfwata Betrody na kumweleza kua atatumiwa nauli ili aende Dar, Kwa maisha ya Kijijini kumsikia Mtu anaenda Dar halikua jambo dogo tena anaenda kwa ngekewa ya Mapenzi, hii ilimkwaza Betrody hadi akashindwa kujizuia, hakumshauri chochote zaidi ya kumtisha kua anaweza akaenda kukutana na Jini huko.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
JAMES WA FACEBOOK π 12
Kumbe Betrody aliumia pakubwa sana akaamua kuzunguka hadi kwa Mama yake James na kumweleza, tena akaongeza chumvi ndani yake na kuzidi kumpandisha ghadhabu Mama yake James ambaye alimlea James peke yake mara baada ya Baba yake James kufariki.
Alimsubiria James arudi kutoka matembezi, akampiga kibao cha Shavu la Kulia na kumsemea maneno makali sana
“Nimesikia kuna Mwanamke unawasiliana naye na unataka kwenda Dar, kama utafanya huo upuuzi basi tafuta Mama yako mwingine na siyo Mimi. Wewe ni Mjinga kiasi gani James umwamini Mtu usiyemjua?” alisema kwa ghadhabu huku akifoka Mama yake James
“Hizo habari amekweleza Nani Mama?” alihoji James
“Nimesikia kila kitu na sitaki nikusikie ukiniambia siyo kweli, James nakuonya ukinyanyua Mguu wako hapa na kwenda Dar, nitakulaani” alisena Mama yake James, kwa hasira James alimrudia Betrody
“Kumbe wewe ni mnafiki sana Betrody, nilikuamini kumbe hukutaka maendeleo yangu. Kipi kilikusukuma ukaenda kwa Mama yangu kumweleza juu ya safari yangu? Hakika adui hatoki mbali”
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
JAMES WA FACEBOOK π 13
alisema James kwa maneno machache sana kisha aliondoka zake kwa hasira akimaanisha kuvunja urafiki na Betrody, akiwa njiani na hasira zake akasikia ujumbe ukiingia katika simu yake, akaufungua na kukuta ujumbe wa muhamala wa pesa kutoka kwa Suzy
“Kiasi cha Shilingi Elfu tisini kimeingia kwenye akaunti yako ya M-pesa” Hasira zote zilimwondoka James, akatabasamu. Kiasi hicho kilikua kingi kuwahi kukimiliki katika Maisha yake, aliweuka James akaanza kuruka kwa furaha huku akifikiria namna ya kuitumia pesa hiyo
Mara Suzy akampigia simu papo hapo akiwa na shangwe zake, akajiegemeza kwenye mti ili azungumze na Suzy
“James, naamini hiyo inatosha kwa Nauli na matumizi madogo madogo ya njiani, usijali hicho ni kiasi kidogo sana nitakupa zaidi na zaidi ukinikuna vizuri” alisema Suzy
“Ahsante sana Suzy, nimefurahi sikujua kama ulimaanisha kweli nije Dar”
“James nakuhitaji, njoo Dar. Ukinikuna vizuri nitakupa zaidi ya hizo, nitabadilisha Maisha yako na hutoamini” maneno haya yalizidi kumnogesha James, wazo la kwenda Dar likamkolea.
Kwa siri James akafanya mpango wa kutoroka nyumbani kwao, Usiku wa siku ya Tatu akatoroka akiwa na kibegi chake kidogo akiamini hakuna anayemwona kumbe Mama yake James alikua akimwona James na hakutaka kumzuia
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
JAMES WA FACEBOOK π 14
“Dunia itakufundisha James, kama haitokufundisha basi itakunufaisha au vyote kwa pamoja, sikio lako halisikii nenda” alisema Mama yake James akiwa amejibanza kiwambazani akimshuhudia James akizama katika shamba jirani.
James aliiacha Iringa na Mashamba yake, iringa na baridi yake, Iringa na Watu wake. Safari ya kuelekea Dar-es-salaam ilianza. Kadili muda ulivyokua unazidi kusonga alianza kua mwoga lakini alikua ameshaiacha Iringa anaelekea zake Dar, Siku hiyo Suzy alikua na furaha sana
“Ramla, yule Mwanaume anakuja. Yaani natetemeka hapa” alisema Suzy
“Anakuja Dar?”
“Ndiyo, nimemwita”
“Yaani Suzy wewe ni wa ajabu, unamwamini vipi Mwanaume wa Mtandaoni?”
“Kwani unafikiria Watu wa Mtandaoni wanatokea Dunia gani, si Mimi na wewe sasa sisi tuna ubaya gani? Ndivyo ilivyo kwa James”
“Mh haya, anafikia wapi?”
“Nimekodi gest kwa siku tano”
“Heee siku zote hizo?”
“Ndiyo, nataka anikune hadi nitoke Unga”
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
JAMES WA FACEBOOK π 15
“Usisahau Kinga, humjui huyo Mwanaume hujui katembea na Wangapi” akasema Ramla akionesha wazi kua na jambo fulani nyuma yake, namna picha alizozituma James zilivyo na mvuto isingelikuwa rahisi kwa Ramla kutojawa na wivu, picha hizo zilikua nzuri mno.
“Hilo tu wala Usijali Mwaya”
“Kwani Mumeo na Mume wangu wanaenda sehemu moja Congo?”
“Kwani naye kachaguliwa?”
“Eeeh kesho anaondoka”
“Basi nawe tafuta Mtu wa kukutoa hamu, mwenzio nishazoea upweke” akasema Suzy wakacheka kwa pamoja.
•••••••
Saa moja Usiku. Stendi ya Magufuli
Suzy alikua stendi tokea saa kumi na Mbili akimsubiria James, Basi aliyotajiwa ndiyo ilikua ikiingia. Kupitia Dirishani James alifanikiwa kumwona Suzy, yeye alikua akiijua sura ya Suzy lakini Suzy alikua haijui sura halisi ya James.
Abiria walianza kushuka, James naye alishuka lakini Suzy hakumtambua James.
Hivyo James akasogea mbele akimtazama Suzy kwa nyuma huku akifikiria afanye nini, Watu waliokua pale wakisubiria ndugu zao walimfanya James azidi kuogopa kuzungumza na Suzy
Abiria wote walipomalizika na Suzy hakumwona James, akachukua simu na kumpigia James, kwa hofu James aliikata simu na kuizima, sijui hofu yake ilitokana na nini hasa maana alishafika Dar na hakua na ndugu yeyote yule isipokua Suzy ndiye aliyemtegemea kupata Malazi na huduma nyingine hadi nauli ya kurudi nyumbani.
Comments
Post a Comment