JAMES WA FACEBOOK 06 - 10


  

JAMES WA FACEBOOK πŸ’‘ 6


“Jamani wewe Mkaka unajua unaniumiza huku?” alisema Suzy kwa sauti iliyojaa ulegevu huku akijichezea matit* yake yaliyoyaa kifuani tena akiinyonga nyonga miguu yake myeupe iliyovalia kikuku cha Almasi.

“Ungekua karibu ningekuto** hadi ungekojoa” James alijikuta akisema maneno ambayo hata hakujua aliyatolea wapi, Dudu lake lilikua limesimama huku likitoa miute ute iliyochafua Pensi lake.


‘Aaaaaaazssssh Jamani, ungejua hapa najichezea Kisimii jamani, Jamessss Mmmmmh” Suzy akazidi kulalamika huku akichezea chuchuu zake, alikaa miezi zaidi ya Mitatu bila kuguswa, James akawa kama ametibua mashetani.


“Nakuja basi nikufanye nini?” wakaanza kupeana maneno ya kimahaba zaidi, kila mmoja alikua hoi kwa upande wake, nyegee haichagui wala haibagui, Suzy alipagawa zaidi akazidi kujichezea hadi akakojoa, ilikua hivyo hivyo kwa James.


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


JAMES WA FACEBOOK πŸ’‘ 7


Waliongea sana Usiku kucha, walikojoleshana sana. Walizungumza zaidi na zaidi, Suzy akanogewa sana na James hasa alipokua akiziangalia picha za James alizozituma bila kujua kua hizo siyo picha za James, kijana mwenyewe alikua choka mbaya amepauka kutokana na ugumu wa Maisha ya Kijiji.


James alifanya hivyo sababu alijua hawezi kufikia hatua ya kuonana na Suzy, wakalala Usiku wa saa tisa karibu kabisa na mapambazuko. Kila mmoja alilala akiwa mwepesi mno sababu walikojoleshana kwa simu Usiku wote.

Asubuhi kulipo pambazuka, Suzy akawa wa kwanza kumjulia hali James tena kwa meseji nzuri yenye shukurani ndani yake kwa kile alichofanyiwa usiku uliopita, Suzy hakuishia hapo akamweleza rafiki yake wa nyumba jirani ambaye naye ni Mke wa Askari


“Mh Suzy wewe” alisema rafiki yake huyo aliyeitwa Ramla akiwa amejishika kiuno kutokana na maelezo aliyopewa

“Kanichanganya yule Mkaka halafu ni mzuri sana Jamani”

“Kumbuka wewe ni Mke wa Mtu Suzy usije ukajisahau”


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


JAMES WA FACEBOOK πŸ’‘ 8


“Ramla wewe Mumeo yupo nawe kila siku lakini Mimi wangu yupo mapakani, sawa napata mahitaji yote muhimu lakini nakosa ukaribu wa Mume wangu, mwezi wa Nne sasa hivi sijaguswa” walikua wamekaa kwenye varanda nyumbani kwake Ramla


“Kwahiyo unamaanisha hamtoishia mtandaoni mtaonana?”

“Yeye yupo Iringa, angelikua Dar sawa”

“Haya lakini uwe makini tu rafiki yangu, siku za mwizi ni arobaini” Mwishowe waliishia kucheka na kuendelea na stori zao zingine.

Upande wa James naye alimweleza rafiki yake lakini hakuacha kueleza namna hofu yake ya kutuma picha zisizo zake inavyomtafuna


“Utakuja kukutana na majini wewe, huwajui Watu wa mtandaoni eeeh” alisema rafiki yake huyo aliyeitwa Betrody wakiwa wamekaa juu ya jiwe jioni moja wakiwa wanakitazama Kijiji chao cha Nzala kutokea Mlimani

“Hawezi kua jini Bwana, nimeongea naye usiku kucha. Jini anapata wapi muda wa kuongea Usiku kucha” 

“Kumbe hujasikia hizo stori za Watu kukutana na majini eeh, haya wewe jifanye umekolea tu. Hata kama asipokua jini lakini wewe umemtumia picha zisizo zako huoni kama umejinyima fursa?”


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


JAMES WA FACEBOOK πŸ’‘ 9


“Niachie Mimi nitajua cha kufanya Betrody nimle yule Mdada, ni mzuri  mno” alisema akiwa anafurahi lakini rafiki yake Bretrody aliiingiwa na kinyongo moyoni mwake.

••••••••••

Mapenzi na mahusiano kati ya Suzy na James yalizidi kunoga, walikojoleshana kila siku usiku na Mchana, Suzy akajiona hana tena Upweke baada ya Mume wake kwenda Mpakani, akawa huru sana kuwasiliana na James muda wote autakao. Wanasema Penzi halijifichi, Suzy akaanza kumhonga pesa ndogo ndogo James kila alipoombwa.


James naye akaona kapata Mwanamke lakini hofu ikawa ni zile picha alizozituma kwa Suzy, akatamani kumweleza ukweli Suzy kua zile picha siyo zake lakini aliona kufanya hivyo kunge bomoa penzi lao na asingeliweza kupata pesa na Mtu wa kumpa kampani pale alipohitaji.

“Mweleze ukweli James, unafikiria utakaa gizani hadi lini?”


 aliyakumbuka maneno ya rafiki yake Betrody usiku mmoja akiwa zake kitandani, rasha rasha za mvua zilikua zikiendelea huko nje, alijigeuza huku na kule akizidi kuyatafakari maneno ya Betrody

Upande mmoja aliona yana ukweli ndani yake na upande mwingine aliona yatamkosesha kila kitu, vitu vingi alifanya na Suzy ikiwemo kumwonesha Dudu kwa Whatssap picha, kilichobakia kilikua ni kuonana tu.


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°

JAMES WA FACEBOOK πŸ’‘ 10


Akiwa kwenye tafakari Suzy alipiga simu kwa James, sasa ilikua imeshakatika wiki ya kwanza ya kujuana kwao

“Mpenzi umeshindaje?” aliuliza Suzy kwa sauti nyepe akiwa zake kitandani


“Nimeshinda vizuri tu kipenzi, nilikua natafakari jambo hapa” alisema James akiwa tayari kufunguka kwa Suzy ili kama atamchinjia bahari basi ajuwe moja, alijijua yeye alikua na sura mbaya tofauti na huyo Mwanaume anayezitumia picha zake kumwongopea Suzy tena kibaya zaidi alizidiwa miaka tisa lakini kilichomlinda James ni sauti yake Nzito


“Kabla hujasema, nina habari njema James” alisema Suzy akionekana ni mwenye furaha

“Jambo gani hilo?”

“Mume wangu amechaguliwa kua miongoni mwa Wanajeshi watakaoenda Congo kulinda amani, atakaa huko kwa miaka miwili. James, nataka uje Dar sasa” alisema Suzy, moyo wa James uliripuka riiiipuuu, akakaa kitandani huku akizidi kuyakumbuka maneno ya Rafiki yake Betrody


NINI KITAENDELEA HAPA JAMANI????



Comments