JAMES WA FACEBOOK 01 - 05




 JAMES WA FACEBOOK πŸ’‘ 1

(Simulizi ya kweli)
Kijana James Mbuya aliyemaliza shule ya sekondari Mkoani Iringa alikua amelala zake kitandani, ndiyo kwanza alikua ameingia katika ile hatua ya ukuaji iitwayo Balehe, alikua ameshiba zake Ugali na Mtindi na alikua hana cha kufanya zaidi ya kujichezea huku chini.

Ilikua ndiyo starehe yake kubwa, mkono wa kulia alikua ameshikilia simu kubwa iliyochoka lakini alikua akiipenda sana simu hiyo sababu ilikua ikimfanya aangalie picha na video za ngonoo* kutoka kwenye Tovuti mbalimbali mtandaoni.
Alivalia zake pensi nyeusi, Dudu lake likiwa limesimama alikua akisikia raha sana na mara zote mwisho wake aliishia kukojoa, hapo ndiyo alikua akimaliza haja zake. 

Kijana James mwenye miaka chini ya 21 alikua akitamani sana kupata Mwanamke wa kumtolea haja zake lakini alikua domo zege na mara zote aliishia kuzodolewa na Wanawake wa Kijiji chake cha Nzale ambao walimwona kama Mshamba wa mapenzi, hii ikamfanya James aingie kwenye mtego wa kujiridhisha mwenyewe mara zote.

 

°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


JAMES WA FACEBOOK πŸ’‘ 2

Jioni hii, James alikua akiangalia picha za wanawake kwenye mtandao wa Facebook, walikua wazuri mno, wengi kati yao walimnyima namba na wengine walimwona Msumbufu hivyo walimblock. Wakati anapita mtandaoni aliona kurasa moja iliyokua na jina linaloonesha kua Mmiliki alikua akifanya kazi ya kuwaridhisha Wanawake.


Hii ilimpendeza sana James akaonesha tabasamu huku akizidi kupitia Komenti mbalimbali zilizoonesha kua Mtu huyo alikua akiwafurahisha sana Wanawake kutoka pande mbalimbali za Tanzania. Moyo wa James ulimwenda mbio huku akiitazama hiyo kua fursa pekee itakayo mfanya apate Mwanamke wa kumaliza haja zake.


Alikuna kichwa chake huku akifiria kubadilisha jina lake la Mtandao wa Facebook ili naye ajulikane kama Mwanaume anayewaridhisha Wanawake mtandaoni, akajilamba midomo yake huku akichezesha mguu wake wa kulia alioweka ukutani. Katika kufikiria sana aliamua kujiita ‘JAMES WA FACEBOOK’ 


Haraka alifuta picha zake na kuweka picha za Mtu ambaye alikua na misuli, aliyejazia, mwenye mwonekano mzuri ili avutie wanawake wengi.

°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


 JAMES WA FACEBOOK πŸ’ 3


Akaandika na maelezo kua anaridhisha wanawake na kuwafanya wakojoe, baada ya kumaliza aliizima simu yake na kuipeleka chaji huku akipania zaidi nyakati za Usiku kuanza purukushani zake.

••••••••

Picha alizozituma James kutoka Iringa zilianza kupata watazamaji wengi, wafuasi walianza kumiminika. Miongoni mwa walioingia kwenye akaunti ya facebook ya James alikua ni Mwanamke mmoja aishiye Dar-es-salaam anayeitwa Suzy, Jioni ilikua imeshaingia.


Suzy alitumia nusu saa kuitafakari ile akaunti ya James wa Facebook, mambo aliyoyaweka kwenye mtandao huo yalimwacha Suzy kinywa wazi, huyo Suzy alikua ni Mwanamke wa Kinyaturu anayeishi Tegeta kwa Ndevu, ni Mke wa askari aliyeko mpakani mwa Tanzania na Zambia.

Kiumri Suzy alikua mkubwa kwa James, alimzidi zaidi ya Miaka tisa ya kuhesabu. Picha za ngonoo zilimhamasisha sana Suzy akajawa na tamaa ya kutaka kumwona huyo James anafananaje. 


Miezi zaidi ya Mitatu Suzy aliishi mwenyewe katika nyumba waliyojenga na Mume wake ambaye alikua ni Askari mwenye cheo kikubwa, alichofanya Suzy ni kumtumia ujumbe James kisha naye alianza kuandaa chakula cha Usiku akishirikiana na Msichana wake wa kazi ambaye ndiye Mtu pekee aliyekua akiishi naye ukiachana na Mlinzi aliyekua getini mara zote.


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


JAMES WA FACEBOOK πŸ’ 4 


Upande wa pili Mkoani Iringa kwa Kijana James, shahuku kubwa kwake ilikua ni kujua kama mpango kazi alioufanya utakua umetoa matokeo mazuri, baada ya kuichukua simu kutoka chaji, alijitupa kitandani akiwa ameshakula.


Ilikua ni Mishale ya saa tatu za Usiku, aliwasha simu kisha akawasha mtandao wa Intaneti kusudi aingie Facebook. Taarifa nyingi kutoka Facebook ziliingia na kuifanya simu yake kusimama kufanya kazi kwa sekunde kadhaa kisha ikarudi kuendelea kufanya kazi, alikutana na meseji tisa, marafiki wapya zaidi ya Elfu mbili, likes zaidi ya elfu moja kwa kila picha aliyoiweka na maoni mengi sana ambayo hata hakuangaika nayo.


Akaingia kwanza upande wa meseji, alikuta meseji zenye kumkejeli huku wengi wakimwita ‘Mshenzi’ 

Alivunjika moyo hata ile furaha ilipotea, katika kuperuzi alikutana na Meseji kutoka kwa Suzy

SUZY: Mambo

Hakuamini macho yake James, alijigaragaza kitandani mithiri ya samaki aliyevuliwa na kutupwa kwenye ndoo isiyo na Maji, akamjibu Suzy ambaye alikua ameshaingia Mtandaoni

JAMES: Poa, za wewe?


°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


JAMES WA FACEBOOK πŸ’ 5


Hakuamini macho yake James, alijigaragaza kitandani mithiri ya samaki aliyevuliwa na kutupwa kwenye ndoo isiyo na Maji, akamjibu Suzy ambaye alikua ameshaingia Mtandaoni

JAMES: Poa, za wewe?


SUZY: Safi, kwanini umeweka picha hizo, wewe ni Mwanaume au Mwanamke?

JAMES: Mwanaume, nimeweka mambo niyapendayo kwani kuna ubaya?

SUZY: Hamna Ubaya...Bando umenunua mwenyewe kwanini upangiwe cha kuweka? 


Alijibu Suzy kisha aliweka na midoli ya kucheka, hii ikamsukuma zaidi James kuona kua Mwanamke huyo alinogewa, basi akaanza kuangalia picha za Suzy....Mate yalimtoka alipogundua kua Mwanamke aliyekua anawasiliana naye alikua mzuri mwenye Makalio makubwa, akazidi kutabasamu.


SUZY: Nitumie picha yako

JAMES: Tayari


Picha ambayo James aliituma kwa Suzy haikua yake, ilikua ni picha ya Mwanaume mtanashati sana, Suzy akazidi kunogewa

SUZY: Jamani Mkaka mzuri sana kwanini unaweka picha mbaya mtandaoni, unaonekana Umejaaliwa

JAMES: Ndiyo nimejaaliwa, pia sioni kama kuna tatizo kwa ninachofanya


Wakajikuta wakiwasiliana zaidi na zaidi hadi saa sita Usiku, James akazidi kumtia nyegee Suzy kwa maneno matamu, hatimaye wakapeana namba na kuanza kuzungumza


NINI KITAENDELEA?

Comments