"Hodiii!!"
"Karibu!!"
"Habari yako?"
"Nzuri, yako?"
"Salama!! Namuulizia James nimeambiwa anaishi hapa, jina maarufu ni kifurushi anashona pale mbele"
"Ulishaanza kunipoteza!!" Yalikuwa ni maongezi kati ya Scola na Mdada mmoja ambaye hakujitambulisha, Mdada huyo akaelekea kwenye dirisha moja kisha akagongaa
"Wewe Refaa upoo?"
"Nipoo nipoo" Sauti ya James ikasikika!!
"Kuna mgeni wako!" Yule Mdada akarudi kwa Scola,
"Anakuja! Huyu hapa tunamjuwa kama refa"
"Refa?"
"Ndio refa!! Ina maana umekuja hapa hujui unakuja kufanya nini au unanizuga?"
"Unamaanisha nini?"
"Mie nipo hapa kazi yangu ni kusikiliza milio tu kutoka chumbani kwa refu" Akasema na kumuacha njia panda Scola. Mlango ukafunguliwa mara moja na sura ya James ikaonekana, alipomuona Scola sura yake ikabadilika kidogo
"Karibu!!"
"Ahsante James!" Scola akaonesha kufurahia kukaribishwa chumbani kwa Fundi James ambaye alikuwa ndani ya Msuli kama kawaida
"Eeeh! Nimekutafuta hadi nafika hapa namshukuru Mungu" James akacheka akijuwa ni jambo gani limemleta anapoishi
"Kwanini una majina mengi namna hii James jamani yaani hadi nimevurugwa" James alikaa kimya bila kumjibu kitu
Scola akajifanya anasikia Joto akaanza kufunguwa zipu ya gauni
"Eeeh huku kuna joto jamani James"
"Nimeshazoea mwenyewe!! Nyie ni Watu wa Ushuani, huku kuna feni tu na nyie mmezoea AC"
"Hahahah!! Joto sio neno kwangu James" Akaongea huku akianza kuhema, Scola alikuwa ameshikwa na nyege vibaya sana
"James mbona haujajibu meseji yangu?" Akauliza
MTU ANAENDA KUDINYWA AU?
Comments
Post a Comment