"Sasa Umejuaje Dear maana duuuh!! Itashonwa nguo yangu kweli?"
"Atashona lakini ni malaya yule Kaka hadi nimemuonea huruma Yule Mke wake ana mtoto mdogo yaani!! Sijafurahishwa hata kidogo"
"Mhh!"
"Ndio hivyo Mwaya limenishuka yaani hapa" akaongea kiumbea umbea akiwa anajuwa kuwa Mdogo wake huenda alikuwa akifanya kitu na James pale alipowaacha wakipimana, baada ya kujiridhisha kuwa alikuwa amemmaliza Mdogo wake kwa Uwongo akaelekea Chumbani kwake!
Kauli hii ilimkata maini Jolie, akabakia akiwa kitandani amekaa huku akitafakari alichosema Dada yake pasipo kujua kuwa Dada yake alikuwa ameshazama kwa James baada ya kuona Dudu washa la James!!
"Yesss!" Akafurahi Scola alipofika chumbani kwake, moyo wake ukajawa furaha ukawa unaenda mbio akaelekea Bafuni kuoga kisha akarudi baada ya dakika kama 20 hivi akiwa amevalia Khanga moja, akawa anajiuliza atamuingia vipi James ili ampe Dudu washa maana tayari lilikuwa limemchanganya!!
Akachukuwa Simu yake akafikiria kumtumia meseji James!! Jioni ilikuwa imeshaingia, akajilaza huku akiandika ujumbe mzito iliosomeka
"James! James! James! Nimekuita Mara tatu James....Sijawahi kumuona Mwanaume kama wewe!! Una sifa kuu ya kuitwa Mwanaume uliye kamilika!! Nimekagua video iliyorekodiwa kwenye gari...mwili umesisimka nilipo niliona Dudu washa lako....James najuwa una mwanamke lakini usinikatili kiasi hicho mpenzi...Nataka Dudu washa" alipomaliza kuandika akakaguwa vizuri alichokuwa akikiandika!!
Comments
Post a Comment