"Naona umeshafika kazini James!!" Akasema Scola, akafungua pochi akampatia James kiasi cha pesa kwa ajili ya kununua material kwa ajili ya ushonaji wa hilo gauni la harusi ya Jolie
"Hii hapa nyingine yako James" kiasi cha kama laki moja kikawa mkononi kwa James akiwa anaambiwa ni ya kwake
"Asante Scola" akajibu na kushuka kwenye gari, Scola akaondoka zake pale. James ilimbidi ashushe pumzi zake huku akiuona uelekeo wa kuwala ndugu wawili wenye pesa, ni kama zali ambalo alikutana nalo akaelekea kwenye chumba cha kubadilishia nguo akauweka vizuri Mdude wake ambao ulikuwa hautulii ndani ya chup
"Ooooopsss" Sasa akakaa kwenye kiti kuendelea na kazi zake.
Baada ya kuhakikisha amemrudisha James eneo la kazi Scola akahitaji kuelekea nyumbani, akafikiria kuhusu James akiwa ndani ya gari ni kama vile alikuwa amepagawa baada ya kuona Dude refu la James ukizingatia yeye alikuwa na nyama nyama hivyo alihisi Dude la James lilikuwa sahihi sana kupita kwenye nyama zake!!
Alipofika nyumbani alimkuta Jolie akiwa anaangalia TV akiwa na wageni wawili ambao walikuja kumsalimu!!
"Jolie nakuomba mara moja" akiwa mlangoni Scola akamuita Mdogo wake ili apate kuongea naye
"Jolie huwezi amini!!"
"Nini Dada Scola"
"Kumbe James ana Mke wake alafu ana kimada pembeni yaani nimeacha wanapigana huko Duuuh! Wanaume hawa" aliongea Scola ili kumkatisha tamaa mdogo wake sababu alikuwa akimjuwa tabia zake, alikuwa akipenda sana ngono hivyo aliogopa kama atakutana na Dude la James anaweza akapagawa kabisa alafu yeye akamkosa James, moyoni alijuwa kuwa alichokuwa anaongea kilikuwa ni Uongo Mtupu
"Usiniambie!!"
"Ndio nakwambia hadi limenishuka yaani! Kamtelekeza Mke wake hampi huduma kisa huyo kimada" aliongea kwa sauti kuu iliyoambatana na kicheko cha Umbea!! Kumbe hata Watu wa ushuani huishi kama wapo Uswahilini wakati fulani, ikambidi Sasa Jolie akae kitandani kumsikiliza Dada yake
HII VITA YA MTU NA DADA AKE 🙌
Comments
Post a Comment