Ilipoishia:
bwana bwana kelele za mama huyo,ziliwafanya watu kutoka ndani,sasa peter ikabidi kukimbia ili kujificha make kama angeonekana ingekua bonge moja la msara kwamba anachungulia wapangaji wanapokua wanaoga,baada ya watu kibao kutoka ndani kumtafuta huyo mtu,jimama nae alitoka bafuni na mwanaume wake huyo ambae alikua anaishi nae hapo akiwa kama kibenteni wake,baada ya kutoka ilibidi kutoa maelezo,"mimi na mume wangu tuko zetu bafuni tunaoga,lakini ghafla nimemuona mtu kama peter vile kijana wa mwenye nyumba,anachungulia arafu kakimbia,"bwana bwana,msara upande wa peter sasa bonge moja la aibu,ilibidi sasa baba yake peter kwenda kumtizama peter kama yuko chumbani kwake au la!........................................
Endelea:
Lakini wakati huo yametokea,watu wote walitoka nje ila mama Regina na baba Regina hawakuweza kutoka,ndani kilikua kimewaka kudadeki moto sio poa,kwanza nguo za baba Regina wakati alipozivua ili kuingia bafuni kuoga,zilisikika zinanukia harufu ya marashi ambayo Menina ndie anayeonekana kuyatumia siku zote,mama Regina ikabidi kuhoji,"bwana si mda natoka niligongea marashi ya mjomba wangu kwani kuna tatizo mke wangu,"baada ya kusema hivyo mama Regina aliweza kumuelewa,wakaelekea bafuni kwa amani kabisa kwa ajili ya kuoga,wakiwa bafuni wamevua nguo ili kuanza kuoga,mama Regina kutizama shingoni mwa mumewake,kudadeki anaona bonge moja la alama ya mng'ato fulani hivi amaizing ambapo mara nyingi sana watu hua wanang'atana wanapokua wanafanya ule mchezo wa kudinyana,baada ya mama Regina kuona alama hiyo shingoni mwa baba Regina ambapo wazungu wanaita love bite,ndani ya bafu kikawaka kwa mara nyingine,"wewe dume malaya usiyeridhika wala kutosheka hata upewe style gani,nimekupatia chumba mboga lakini wapi,chuma tembele lakini wapi,kifo cha mende vilevile,nimejitahidi kusimamia mguu mmoja ili nikuridhishe,wakati mwingine nakalia 🍆 lako kubwa linaingia mpaka utumbo nahisi unatetema lakini wapi,nimebong'oka nakukuacha ku.......🤐a yote unato......🤐ba unavyojisikia lakini mwanaume wewe bado hutaki kuridhika,sasa nimechoka mimi,nimechoka kwakweli mimi acha niondoke kurudi kwetu,bakia na hao malaya zako siwezi tena kuvumilia,"bwana bwana,kwa hasira mama Regina hakutaka tena maongezi,alihisi kabisa mwanaume wake katoka mchepukoni baada ya kuona love bite shingoni mwake,mwanamke alitoka bafuni majira ya usiku huohuo akavaa nguo zake kisha kuchukua begi lake ili aweze kuondoka zake.
Baba Regina hakuwahi kumuona mke wake akiwa katika hali ya userious mkubwa kiasi hicho,mpaka mwenyewe alijikuta anaogopa sasa akaamini mwanamke anaondoka kweli,"mke wangu sasa usiku huu unaenda wapi tafadhali,mbona haya mambo yanaweza kuongeleka mkewangu,jalibu kukumbuka tulipotoka mimi na wewe,
Mama Regina: kama kweli unajua mimi ni mke wako na unakumbuka tulipotoka mimi na wewe,kwanini sasa unanizalilisha kila siku,nikupatie kitu gani upate kuridhika,make najitahidi kwa bidii zote lakini bado hutaki kuridhika,kitu gani sasa mimi nifanye ili angalau uweze kuridhika,niache mimi niondoke wala usinishike mimi,"mama Regina alizungumza hivyo kwa uchungu mkubwa kwelikweli huku akiwa analia machozi,akifikilia hogo lake kuna mwanamke mwingine ambae analitumia,hakika mama Regina alichukia sana siku hiyo,lakini jamaa akiwa uchi alijalibu kubembembeleza ilikusudi mwanamke asiweze kuondoka,bado ilikua ni mtihani mama Regina hakua tiyari,hatimae mama Regina alikusanya nguo zake zote,akawa anaburuta begi ili kuweze kuondoka kutoka ndani ya nyumba hiyo,baba Regina kuona kweli mke kadhamiria kuondoka wakati huo nje wapangaji wote wametoka ndani ya nyumba zao,yaani ni bonge moja la aibu upande wake baba Regina,aliamua kupiga magoti kabisa kwa mke wake huku anasweti ya hela yote,anaingiza mkono mfukoni ili kuchukua kitambaa afute jasho aendelee kubembeza mke asiondoke,lakini badala ya kutoa kitabaa anajikuta anatoka na bikini ya menina,yaani hapo sasa mama Regina aliona nidharau mume anamfanyia,baba Regina alitoa macho yaani kuirejesha mfukoni hawezi make tiyari mke kashaiona,kuitupa hawezi,akabakia kashikilia tu mkononi huku akiwa amepiga magoti,"eee mkewangu kweli nimekosa,naomba nisamehe usiondoke tafadhali,angalau basi kaa chini tuweze kuzungumza,sijawahi kumpigia mwanamke magoti tangia nizaliwe leo ndio mara yangu ya kwanza,tafadhali naomba nielewe mke wangu,
Mama Regina: kama unataka tuweze kuongea mpaka tuelewane,nataka unambie ukweli ukijibu maswali yangu haya matatu nitaweza kukaa chini sasa,kwanini unachepuka,huyo mwanamke unayechepuka nae ni nani na kanizidi nini mimi yaani anakupatia kitu gani ambacho mimi sikuwahi kukupia,nataka nimjue huyo mwanamke ni nani tena swali la mwisho umeanza nae kwa mda gani?",bwana bwana yalikua maswali magumu kwelikweli kiasi kwamba majibu yake baba Regina alishindwa kuyatoa,"mkewangu eee,maswali yako ni magumu sana,huyo mtu unayetaka kumjua dah nashindwa hata nisemeje mkewangu,lakini kama utabakia kila kitu kimeisha,nishamalizana nae haiwezi kujitokeza tena,
Mama Regina: kama huwezi kunijibu maswali yangu,nambie tu basi huyo mwanamke ni nani basi nataka kumjua tu,nataka nimjue ili nimuone yukoje huyo mwanamke labda kapewa ku🤐.......a mbili mimi sina au labda ku🤐...a yake unapokua unamtia inaimba nyimbo ya kwangu haiwezi kuimba,"maneno ya hasira yaliyokua yanamtoka mama Regina ilikua sio mchezo,baba Regina alibakia kimya tu,hana neno wala jibu lolote la kusema,mama Regina aliamua kuondoka sasa huku akisema,"kama utaona mimi ninao umuhimu mkubwa kwako,utanitafuta ukiwa na majibu ya maswali yangu,"akiwa anaondoka kwa hasira,baba Regina alimshika ili kumzuia asiondoke,hapo ndipo kichaa cha mama Regina kilivyopanda kudadeki,mwanamke alimshika pum....🤐u zake alibinya kwa nguvu zote,mpaka baba Regina aliachia kijambo na mikojo juu,hapo ndipo mama Regina alipomuachia,jamaa akawa hawezi hata kusimama,alibakia chini anaugulia maumivu kudadeki chezea kubanwa pum🤐u.
Mama Regina akatoka na kuacha watu na watoto wake wasielewe yaliyojili,wakati huo mama Regina bado alikua hajajua mwanamke mwenyewe aliyemzidi kete ni mtoto wa wifi yake ambae ni Menina,tena anamuacha ndani ya nyumba yake humohumo nahisi kama angetambua hivyo,sijui moto wake ungekuaje.
Baada ya mama Regina kuondoka na kuacha watu midomo wazi,wakati huo baba mwenye nyumba bado alikua akiendelea kufatilia tukio la mwanae Peter kuhusishwa na mchezo mchafu wa kuchungulia wapangaji bafuni wanapokua wanaoga,baba mwenye nyumba alielekea chumbani kwa Peter ili kuhakikisha kama kweli Peter ndie aliyekua anafanya mchezo huo mchafu,wakati huo wapangaji wapo nje wakisubilia uthibitisho,huku minong'ono ya hapa na pale ikiwa inaendelea baada ya mama Regina kuonekana kuondoka nyumbani kwake.
Sasa Peter kumbe baada ya balaa hilo kutokea,alikimbia mbio akazunguka nyumba kwa nyuma ili asiweze kuonekana,haraka kusukuma dirisha ili kupitia dirishani azame chumbani kwake,akiwa mwenye haraka mwanaume,aliruka kupitia dirishani mpaka kitandani,sasa wakati alipofika kitandani kutokana na uzito mkubwa wa kujirusha,chaga ya kitanda ikavunjika hali iliyopelekea Peter kujikuta anashuka na godoro mpaka chini,baba yake anasukuma mlango kuingia ndani anakuta Peter yuko chini na godoro chaga imevunjika,katoa macho utasema mjusi kabanwa na mlango,nakwambia Peter alijipigiza kiuno kikawa hakifanyi kazi,hata kuinuka akawa hawezi tena,baba yake alijikuta anacheka mwenyewe kwa mambo aliyokua ameyaona,alijitahidi kujibana ili sauti isitoke nje,"mtoto wewe kweli ni kichaa,sasa shida zote hizo mpaka unavunja kiuno za nini,hahahaaa,hahaaaaaaaaa,ama kweli usilolijua ni kama usiku wa kiza,"mzee alicheka sana,kisha kumuinua Peter nakumlisha katika sofa ndani ya chumba chake,wakati huo Peter kaumia mpaka basi,yaani kiuno hakuna ushirikiano,mzee aliamini kweli mwanae hajasingiziwa,aliamini kweli kabisa Peter alikua anawapiga chabo wapangaji,lakini aliamua kumtetea ili mambo yasiwe mengi,"mbona Peter yuko zake ndani jamani kalala hapa katika sofa chumbani,njooni muone,kweli walivyotizama walimuona Peter,hivyo wapangaji wakapuuza maneno ya jimama huyo nakuona kabisa atakua muongo,"mama yangu kiuno changu mimi hakina ushirikiano kabisa,jointi zote zimesha achana kabisa,mimi Peter mimi jamani,yote haya kayataka loveness kunambia yuko bafuni kumbe kashatoka bila mimi kujua,"Peter alikua analia huku akishika kiuno chake,baada ya wapangaji kurejea ndani,baba yake peter ilibidi sasa kufanya utaratibu wa kuweza kumsaidia kijana wake sasa,make mgongo ulionekana kutenguka yaani hata kusimama peter akawa hawezi............................
Itaendelea!!
Comments
Post a Comment