INGIZA YOTE 10


 



Ilipoishia:

Sasa loveness wakati anapiga hesabu kuhakikisha kwamba baba yake anaondoka ili akachukue kitu alichokua kakiangusha menina,kumbe baba Regina nae alikua kashaona,alifata na kuokota kisha kutia mfukoni,lakini alivyoweka mfukoni mwake bila kujua,kumbe mfuko wake ulikua umetoboka yeye bila kujua kitu chochote,hicho kitu kikawa kimedondoka tena kwa mara nyingine,loveness akakimbia na kuokota kitu hicho ambapo ilikua ni saa moja nzuri sana ya gharama kubwa,saa ya kike tena ilikua........


Endelea:

Loveness alivyochukua,akarejea wala hakutaka kumwambia kitu chochote peter,wakaondoka kurudi nyumbani akiwa ameweka siri yake moyoni.


Hatimae menina alirejea zake mpaka nyumbani,kama kawaida akamkuta shangazi yake anapika mwenyewe hana habari,anapika huku akiwa anaimba nyimbo zake za kilugha,"abhana vhamayo,amang'ana mbuyang'are,abhana vyatata,amang'ana mbuyang'are,hano nenakyo oni nkotomelade,hano ntanakyo umwene kukilande,amaisha ghomonto Mungu umwene ang'hamanyile,amaisha ghane,Mungu tu we ang'amanyile,"shangazi unapenda sana kuimba nyimbo za kwenu hadi raha,"menina alimchomekea hivyo ili kuanzisha nae  maongezi,shangazi mtu bila kutambua kwamba anazungumza na mwanamke mwenzake wanachagia mume mmoja,alicheka kwa furaha kubwa na kumchangamkia Menina kama mtoto wa wifi yake,stori za hapa na pale,mara shangazi akawa ameona menina akitembea matako yanatetema sana,"wewe Menina,mbona yanatetema hivyo leo,kweli humo ndani umevaa hata chup🤐 yenyewe au ndio bikini zenu hizo za kuingia matak🤐ni make watoto wa sikuhizi nyinyi ni shida"shangazi mtu alisema hivyo kama utani,Menina ikabidi kujishika matak🤐 yake yaliyokua laini sana sababu ya kufi🤐🤐na,kujishika kweli anagundua kwamba hajavaa chup🤐 zaidi ya dela tupu ambalo alikua kalivaa,"hahahaaaa shangazi nawewe bwana,kweli sijavaa chup🤐,acha nikavae haraka kabka mjomba hajafika hapa,


Regina: mmmmmh! mjomba huyo kwiyo,kwani unamuogopa mjomba wako wewe hapo?


Mama Regina: khaaa! sasa unataka atembee hivyo mbele ya mjomba wake,"Regina alichomekea makusudi kwasababu tiyari alikua anatambua mchezo ambao unaendelea kati ya mjomba wake na menina,hivyo alizungumza vile makusudi lakini shangazi mtu bila kujua,yeye akachomekea mada ya kumtetea menina.


Menina alizama ndani ya chumba cha shangazi yake haraka ili kuvaa chup🤐,huku akijiuliza maswali,"inamaana kwamba bikini nimeacha kule lodge au nitakua nimeacha maeneo gani,jamani sio kwa mfir🤐no huu wa leo,mpaka nimesahau kuvaa hata bikini yenyewe,"Menina aliamini bikini yake atakua pengine kaacha lodge,alichukua chup🤐 nyingine kisha kuvaa,ili kulibana tak🤐 angarau mtikisiko uweze kupungua.


Baada ya kuvaa chup🤐 kisha kutoka,loveness nae alifanikiwa kufika nyumbani akiwa na begi lake huku kasindikizwa na Peter kijana wa mwenye nyumba hiyo walipokua wanaishi.


Mama Regina alinyanyuka kisha kumpokea binti yake wa pili ambae ni loveness,kwa furaha alimkumbatia halikadhalika Regina alimkumbatia mdogo wake ambae walipishana wiki moja tu kuzaliwa,yaani Regina alizaliwa baada ya wiki moja kupita loveness nae kazaliwa,arafu wanafanana sana sura zao na maumbo yao,tofauti yao ni mambo matatu tu kwanza loveness yeye ni mcharuko sana mambo mengi lakini Regina yeye hana mambo mengi,alafu ni mtulivu kwelikweli,tofauti ya pili loveness yeye anapenda sana mambo makubwa tena mwenye tamaa na mambo makubwa kwelikweli lakini pia anasoma chuo na ana akili sana za darasani,lakini Regina yeye darasani hana akili sana,vilevile bado anasoma kidato cha nne alafu Regina hana tamaa yaani yeye ni mwepesi wa kuridhika na maisha yake aliyokua nayo,tofauti nyingine kubwa kati yao,Regina anayo alama ya kidoti shavuni upande wa kushoto,lakini loveness yeye hana kabisa hicho kidoti yuko soft kabisa lakini kinyume na hapo huwezi kutofautisha,watu wengi walikua wanawatofautisha kwa kidoti pekee.


Loveness na Menina vilevile walikubatiana kwasababu Menina alikua akipenda sana na loveness,yote ni kwasababu ya jinsi ambavyo loveness mambo yake na Menina yalikua yanaendana wakajikuta wanapatana kwelikweli,kama ambavyo ilivyokua siku zote,hakuna marafiki wawili ambao wanaweza kupatana bila kuendana,hivyo loveness na Menina tabia zao zilikua zinaendana kabisa.


Lakini siku hiyo loveness alivyomuona Menina,alishangaa furani hivi,akawa anamfananisha na mwanamke aliyemuona lodge na baba yake,lakini kwa bahati mbaya alimuona akiwa tiyari kashapanda bodaboda tiyari hivyo nguo pekee aliyokua amevalia ndio ilibakia kua kama kumbukumbu.


Aina ya nguo hiyo,alimkuta Menina ndie kaivaa,"inamaana ndio huyu alikua na baba au naota,kweli kabisa ni Menina,"mtoto wakike loveness alijikuta akiwaza huku akimtizama Menina hata hapati picha kabisa wala haamini,"mbona kama unanishangaa bwana binamu,"Menina ilibidi kuhoji swali hilo baada ya kuona binadamu yake ambae ni loveness anamtizama sana kwa mshangao furani hivi,lakini loveness alijichekesha kisha kumjibu,"hapana bwana kama ninekufananisha na mwizi mmoja hivi lakini basi itakua sio labda nimekufananisha tu,


Mama Regina: loveness wewe,mwizi tena,hujaachaga ujinga wako wewe mtoto,"mama Regina alisema hivyo kisha wote wakabakia kucheka wakijua ni utani wa hapa na pale kati ya binamu na binamu yaani mtoto wa mjomba na shangazi.


Loveness alizama ndani kisha kubadilisha nguo,baada ya kumaliza kubadilisha nguo,alichoamua kukifanya sasa ili kujihakikishia kama kweli aliyekua kamuona lodge akiwa na baba yake hakua mwingine bali ni yule Menina,aliamua kuchukua saa aliyokua kaiokota kisha kuiweka juu ya meza sebuleni ambapo ndicho chumba walichokua wanakitumia kuishi kutokana kwamba hali ya kimaisha haikua nzuri sana upande wao,hivyo walipanga chumba na sebule peke yake.


Loveness aliweka makusudi saa ile mezani ili kujihakikishia,kisha yeye akatoka kuelekea zake bafuni kwa ajili ya kuoga,wakati akiwa bafuni kwa ajili ya kuoga,alimtumia message Peter,"babe njoo tuonge basi,naogopa mwenyewe bafuni huku,


Peter: dear natokaje sasa mpaka huko,wapangaji wataniona bwana,


Loveness: hapana bwana wewe njoo,wapangaji kitu gani ilihali wote kila mmoja kashaingia ndani tiyari,uoga wako tu bwana.


Peter: sawa subiria nakuja,najua umeshamis dudu langu acha nije kukuna Mpenzi.................


bwana bwana,unahisi nini kinatokea hapo kati,baba regina akirudi nyumbani na love bite itakuaje,lakini pia Menina akiona saa yake mezani atafanyaje make akibugi na kuchukua saa hiyo tiyari loveness atafahamu ukweli,je Menina atachukua saa au atakausha na kujifanya haijui,lakini pia Regina anajua kinachoendelea vilevile anatambua ile saa ni ya Menina,kama Regina akiropoka kuhusu saa itakuaje,lakini kubwa zaidi ni kwamba,Regina na loveness sio mapacha lakini wamefanana sana na wamepishana wiki moja tu kuzaliwa kwako,unahisi mama Regina alibebaje hiyo mimba mpaka kuzaa watoto wawili wanaofanana sana lakini sio mapacha tena wamepishana wiki moja tu,yote hayo na mengine mengi,usikose kitu hii chombezo yenye mafunzo kemukemu yaliyobeba visa na matukio yanayoendana na maisha yetu ...............


Itaendelea!!

Comments