SEHEMU YA 01
,rafiki yangu nakukabithi hawa watoto wangu wawili kwa sababu hakuna mtu mwingine ninae muamini zaidi yako najua vita sikuzote haitabiriki kikubwa ni kuomba Mungu kama nikirudi salama nitashukuru ila ikiteoka bahati mbaya labda nikapigwa risasi nikafa* naomba uwatunze sana wanangu wachukulie kama watoto wako ingawa huna mtoto nikifa nenda kaishi nao kwenye nyumba yangu siku wakikuwa utawaeleza ukweli nawe utakuwa kama baba yao badala yangu kwaheri rafiki tuta onana Mungu akipenda** hayo yalikuwa maneno ya mwisho" ambayo aliongea kwa kinywa chake nami nikasikia kwa masikio yangu
"ilikuwa ni siku mbaya sana siku ambayo nilitengana na rafiki yangu danyeli, yeye akielekea kwenye vita nami akiniachia jukumu zito la kulea watoto wawili wenye umri wa miaka miwili, istoshe walikuwa mapacha pia wakike wote "sawa rafiki yangu nitafanya kama ulivyo niambia ila naomba Mungu hata kama msipo shida vita hii urudi nyumbani tuna kusubiri Mimi pamona na watoto wako ikitokea bahati mbaya umekufa msalimie sana shemeji mwambie tunamkumbuka kwa wema wake", niliongea maneno hayo nikiwa nime kumbatiana na rafiki yangu tunalia kama watoto wadogo*
maji ukisha yavulia nguo haina budi kuyaoga hivyo"rafiki yangu nae ilimlazimu kwenda vitani kwa sababu alikuwa mwana jeshi tena wa mstari wa mbele"mda unaenda, fanya mmalize kuagana"tuingie vitani"alisema mwana jeshi mmoja baada ya kutuona tume gandana tu"tuliachiana na rafiki yangu akaondoka"huku akiwa anani tazama kwa mara ya mwisho"na mimi nilimtazama"nikampungia mkono"kisha nikaingia ndani" kuwaangalia watoto wakati huo walikuwa wamelala nilifika nikaanza kuwaangalia baada ya kuwaona wako sawa,nilichukua shuka nika wafunika mwili nikaacha nyuso zao wapate kupumua vizuri* alafu nikatoka kwenda kwa jirani kununua maziwa ya ng'ombe nilijua pindi wakiamka tu watakuwa na njaa" nilipo nunua nikarudi ndani nikayaweka kwenye vikopo vyao ambavyo viko kama ziwa la mama" nilipo maliza"nami nikajilaza pembeni yao"
πBABA TUFANYE KWA SIRI π
SEHEMU YA 02
Nilipomaliza na Mimi nikajilaza pembeni yao,,,
>>>>>
" Sasa nikaanza kufikiria jinsi ya kulea watoto wa rafiki yangu,
Baada ya masaa kadhaa kupita watoto waliamka, Nilianza kujichekesha huku nikiwatekenya ilinawao wacheke
Ni mmoja tu alicheka lakini mwingine alilia Nikajua labda ananjaa hivyo nikampa chupa yake ya mazima Kweli sikukosea maana baada ya kumpa tu alinyamaza, Basi na mwingine nae nikampa wakaanza kunywa,,
Maisha yaliendelea Na hali ya kulea watoto ikawa inanishinda maana walinichosha mno kutokana na usumbufu wao kibaya zaidi mmoja alikuwa anapenda kulala mchana sasa ikifika usiku yeye kazi yake kulia tu na kukojoa kitandani, Kwakweli watoto wale walinipa Shida mno Mpaka nikatamani Danyeli Arudi achukue watoto wake,
"Baada ya wiki mbili Nilipokea Taarifa kwamba rafiki yangu Danyeli amefariki kwenye uwanja Wa vita, habari hiyo ilikuwa mbaya kwangu, Nililia sana kumpoteza rafiki yangu kipenzi na yeye ndiye aliyeniachia jukumu la kuwalea watoto wake,
" ila asiyekubali kushidwa sio mshindani, basi hata mimi nilikubali kwamba nimempoteza Danyeli,
japo haikuwa rahisi kusahau lakini Nilipiga moyo konde, Siku zilizidi kusonga kama maji ya kwenye mtelemko Hatimae ukakatika mwaka mmoja, ikawasasa wale watoto wamesha aanza kukuwa Walikwa wanatembea Na kuongea hapo kidogo niliweza hata kufanya majukumu yangu mengine,, sababu nilikuwa naweza kuwaacha kwa jirani wakicheza na watoto wanzao,
* Joshua hivi wale watoto unaoishi nao Ni watoto wakoo au sio wakwako maana wewe mh"
" Rusia Mtoto wa jirani yangu Mwana ldi, aliniuliza hivyo wakati huo nilikuwa Narudi zangu nyumbani,
* Rusia kwanini umeniuliza hivyo
kwanza umerudi lini kutoka huko India,
* Nimerudi jana Tu, Sasa hao watoto wawili Wazuri niliwakuta nyumbani kwetu nikamuuliza mama akanijibu kwamba ni watoto Wako Eti ni kweli,
* Ndiyo ni kweli wale ni watoto wangu
ila kwa bahati mbaya mama yao alifariki baada ya kujifungua tu, "Nilimdanganya hivyo Rusia Sikutaka kumwambia ukweli sababu nilihofia angeharibu jambo hapo baadae,
*_Mmmh Joshua una watoto wazuri Sana hongera kwa hilo, ila pole kwa kumpoteza mzazi mwenzako,
*Nimesha poa ngoja niwahi nyumbani nikawapikie chakula mda umeenda sana Nilimwambia Rusia kisha nikaondoka zangu Rusia alibaki ananikodolea macho kunitazama Ninavyo kwenda,
" Baada ya mwaka mmoja Niliwapeleka watoto Shule wakati huo walikuwa na miaka minne,
Nilifika shuleni nikaanza kuulizwa maswali na mwalimu,
* Wewe mzazi Unaitwa Nani,
* Naitwa Joshua peter,
*Ehe Joshua hawa watoto wanamiaka mingapi,
* Minne, Nikajibu hivyo,
*Huyu Anaitwa Nani,
* Anaitwa Juneti, Na huyu anaitwa Janeti, Nikamjibu mwalimu Baada ya hapo Mwalimu akaniambia niwaache
baadae saa 6 mchana Nirudi kuwachukua,
Basi niliondoka nikawaacha Juneti Na Janeti, hapo shule,
πBABA TUFANYE KWA SIRI π
SEHEMU YA 03
Basi niliondoka nikawaacha Juneti na janeti hapo Shule....Songa nayoo.
Nilikukwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila Siku. badae ilipofika mchana nikarudi shuleni nikawachukua watoto alafu tukaenda zetu nyumbani *Baba ninunulie pipi"
Janeti akaniambia hivyo.
Baada ya kupita karibu na duka,
Kwakuwa nilikuwa nawapenda na kuwajali nikawanunulia hizo pipi alafu tukaendelea na safari ya kurudi nyumbani,
Tulipofika nyumbani Nikaanza kupika chakula cha mchana.
Wao watoto walivua sale za shule wakaanza kucheza.
Saa moja badae chakula kikawa tayari,
" Niliwaita watoto walipokuja tukaanza kula.
* Baba eti kesho tunaenda tena shule.
Juneti" akaniuliza hivyo.
* Ndio mnaenda"
* mh nitafurahi sana maana shuleni kuna raha Leo tumekula kacholi na visheti.
Vilikuwa vitamu"
Janeti nae akaniambia vile,
* misiendekeze kula kacholi Shuleni ninachotaka msome mmenielewa"
* Sawa baba Tutasoma.
Juneti akajibu"
Basi tukaendelea kula.
"""Maisha yakaendelea.
Juneti na janeti waliendelea kusoma Hatimae sasa wakawa mabinti wakubwa wakawa wananisaidia kupika na kufua nguo wakirudi shule.
Sasa nikawa huru kufanya kazi zangu ilikuhakisha kwamba juneti na janeti wanasoma vizuri"
Siku moja ilikuwa jumamosi Juneti na janati hawakuenda shule Niliamka nikapiga mswaki nikanawa uso kisha nikajiandaa iliniende kwa rafiki yangu sababu nilikuwa nina miadi nae Lakini nilipokwenda kutazama pale ninapo wekaga koti langu nilishangaa halipo"
Wakati huo juneti anatoka chumbani kwao huku anafikicha macho kana kwamba ameamka sasa hivi"
* Juneti nani kauondoa mkoti wangu hapa ,
* Baba mimi Sijui Ndo naamka sasa hivi Labda muulize janeti,
"Juneti akajibu,
* Huyo janeti yupowapi hebu muite.
*Juneti akamuita janeti "alipokuja nikamuuliza.
* Wewe janeti Koti langu lipowapi.
* Baba nilikufichia Sababu ninataka nikuulize.
* kuniuliza vipi.
* Baba wewe kila ukitoka lazima uchukue mkoti kwanini.
"Janeti akaniuliza hivyo.
* Janeti huo sio mda wa kujua siri za mkoti wangu nipe niende nachelewa.
Nikamjibu hivyo Janeti akanipa mkoti nikaondoka nikawaacha juneti na janeti nyumbani,
Nilikwenda kukutana na rafiki yangu tukazungumza mengi badae mimi nikarudi nyumbani ilikuwa majira ya saa kumi na moja
""nikamuita juneti alafu nikamuagiza dukani Juneti akajianda akavaa nguo nzuri akapendeza, alikwenda peke yake
Baada ya saa mooja na dakika Nikamuona juneti anarudi huku mwendo wake wakutembea umebadilika alafu alikuwa analia
Nikamuuliza.
* Juneti mbona unatembea upande upande tatizo nini.....
πBABA TUFANYE KWA SIRI π
SEHEMU YA 04
juneti mbona unatembea upande upande tatizo nini,,,,,,
>>>>>
lakini juneti hakunijibu"zaidi ya kunipa kile nilicho kuwa nimemuagiza baada ya hapo*akataka"kuingia, ndani*ikabidi nichachamae kama baba wa familia"wewe juneti mbona hunijibu, nilimuuliza kwa sauti nzito iliyo mfanya asimame na kunitazama huku" akifuta machozi yake baba mpenzi wangu eehe mpenzi *kakufanya nini* kanilazimisha kufanya mapenzi wakati mda ulikuwa bado tulio upanga Mimi na yeye kaniumiza sana nilipo anza kulia akanipiga alafu akasema hanitaki tena
baada ya kuongea hivo juneti akaangua kilio tena nilipatwa na hasira nikatamani kumjua huyo bwege *anakaa wapi huyo mpenzi wako tumfate* juneti* alinielekeza* nikahifadhi moyoni na kusema kesho Nita mtafuta* ili nimuonyeshe kazi*tuliachana na hayo juneti alienda kuoga badae akaenda kulala ili kusilizia maumivu ya sehemu zake za siri* siku hiyo mpishi alikuwa janeti* alipika*mpaka msosi ukawa guda akani karibisha* baba njoo tulee*leta hapa nilipo *nilimwambia, hivo* kweli janeti akaleta chakula nilipo Mimi tukaanza kula*vipi mwenzio juneti* umemuita*ndio baba nime muita lakini hataki kula* janeti alinijibu ,, hivo,
basi, nikaona hakuna shida" tukaanza*kula ugali kama kawa tu Mara janeti akaniuliza"baba ulisema* mama yetu alikufa sisi tukiwa wadogo eti* ndio mwanangu* kwahiyo baba* huowi tena mama mwinginee* janeti mbona unani uliza maswali mazito hivo kwanini* aaah baba Mimi nauliza kwa sababu toka tuko watoto mpaka tumekuwa* hatuja wahi kukuona umesimama na mwana mke* au kuongea* nae katika simu wakati* simu unayo au alipo kufa mama* na hisia zako zikapotea eti*janeti umefikilia nini mpaka* unafikia* hatua ya kuniuliza hivo* unajua wewe bado mdogo siku ukiwa mkubwa zaidi ya hapo* Mimi nitakupa majibu, ya maswali yako*sawa mwangu* lakini baba wewe si ulisema kwamba* sisi tuna fanana na mama hasa mimi*ndio janeti*nilimjibu*sasa baba hapo kuna tatizo gani* khaaa janeti tatizo gani kivipi,
πBABA TUFANYE KWA SIRI π
SEHEMU YA 05
khaaa janeti hakuna tatizo kivipi""ππΏ
>>>>>
kwani wewe baba bado hujaelewa tu hapo* ndio janeti mwanangu sijaelewa naomba, unieleweshe*baba kukuelewesha tena mhh itakuwa vigumu kwanza sasa hivi nimesha anza kuona hayaa" naomba nikalale tu" janeti"aliongea*maneno hayo mbele yangu,nikashindwa kujua malengo yake kwangu ni yapi" sawa Janeti nenda kalale mimi wacha nimalizie kula vyombo nitavitoa mwenyewe *janeti, alicheka kidogo" alafu akaondoka*
Mimi nikabaki hapo nje nakula ugali huku najiuliza huyu janeti"ana maana gani kuniambia hivo ila hapa kuna kitu haiwezi kuwa bure"niliwaza sana mpaka mawazo yangu yaka nihamishia, kwa juneti aliye fanyishwa"mapenzi kwa lazima na" mpenzi wake" daah kizazi hiki bwana watoto wadogo wanaanza kujihusisha na maswala ya mapenzi, wakat hairusiwi wenye chini ya miaka, 18 kwanza huyu juneti"akipata mimba*na majibu jakitoka amefaulu sijui*itakuwaje*aah nachoka kwakweli baada ya kuwaza hayo*
nilinyanyuka na kuvichukua, vyombo nikapeleka ndani alafu nikaenda kulala*nilipo fika mlangoni kwa chumba changu nikakutana na janeti anatoka chumbani kwangu heeee janeti ulikuwa umefata nini "huku"nilimuuliza kwa mshangao maana ilikuwa ni siku ya kwanza janeti pamoja na juneti kuingia katika chumba changu bora hisani yangu* baba nilikuwa*nakutandikiia kitanda tu wala hakuna kitu kingine* wewe janeti nani kakupa, ruhusa hiyo*jamani baba, mbona unakuwa mkali sasa Mimi nimependa tu mwenyewe kukusaidia au hupendi msaada wangu*janeti alinambia hivo* basi ikabidi nimwache aondoke tu* nikaingia chumbani na kufunga*mlango*nika angalia kitandani nikaona kumetandikwa vizuriii nilifurahi na kujisemea*sasa huyu janeti, nitampa oda ya kunitandikia kila siku*nikiwa najisemea*hivo,, Mara ghafla nikaona taiti ,, nyeupe pembeni*sio kalatasi * nikaitazama vizuri ilikuwa na maandishi madogo nikaanza kuisomaa na kabla sijamaliza kusoma nikatoa macho harafu nikasema mungu wangu janeti mbona hivi**
Comments
Post a Comment