Gari lile liliondolewa hadi tukafika maeneo ya ikulu ndogo kwa wakati ule kwasababu makao makuu ya nchi yalikuwa bado hayajahamia Dodoma..
Tulifika na kupitishwa ndani tukiwa chini ya ulinzi mkali sana...
Tulifika kwenye chumba fulani na kukalishwa kwenye Sofa kisha wale walinzi waliokuwa wakitulinda walitoka...
"" " Huwezi Amini bwana Saidi.. Yaani ile ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana uso kwa uso na Mheshimiwa Raisi wa wakati ule kisha kuzungumza nae..
Alikuja Raisi na kuketi akiwa na mlinzi wake mmoja..
******
"""" Vijana kwanini mnalidhalilisha Taifa.??
Aliongea Mheshimiwa Raisi mara tu baada ya kukaa..
" "" Kwanini mnakosa uvumilivu na busara...???
Kwanini mnakuwa hovyo kiasi hicho hadi kuunda mgomo na kushawishi wenzenu chuo kizima kufanya maandamano yale.???
Mnajua wangapi wamepoteza viungo vya miili yao na wangapi wamekufa mnajua.??
Aliongea Mheshimiwa Raisi kwa ukali kidogo..
**
********
"" "" Tunaomba Msamaha mkuu..
Nakumbuka hiyo ndio ilikuwa kauli yangu ya kwanza kuongea mbele ya Mheshiwa Raisi...
"" "" ""
Vijana.. Inamaana huko makwenu mnapotoka huwa mnatimiziwa kila kitu na wazazi wenu.??
Unaweza kuta wengine mnaishi nyumba haina dirisha au hakuna maji wala umeme... Kwanini msianze kuandamana kwanza makwenu kuwashinikiza wazazi wenu wawatimizie huduma zote kwa mara moja.???
Kila kitu ni Mipamgo na mipango si ya siku moja..
Mnajua ni gharama kiasi gani tumetumia kujenga chuo kile???
Kwanini mlate fujo kwa kukosa huduma ambayo bado tunaifanyia kazi..??
Tumekuwa na pesa kiasi gani ya kukamilisha mambo yote kwa mara moja hudu zote hizo???
Badala mshukuru kwanza kupata chuo na walimu wa kuwafundisha. Nyinyi mnaleta ujinga
Huko ni kukosa Uzalendo na huruma na Nchi yenu.. Sasa mtafundishwa uzalendo kwasababu mmeshindwa kuwa wazalendo nyinyi wenyewe..
Aliongea Mheshimiwa Raisi na kuinuka kutoka njee akiwa na Hasira sana...
Baada ya Dakika kadhaa alirudi akiwa na Yule mzee rafiki ako aliekuleta wewe humu muda mfupi uliopita..
Yule mzee yupo humu kitambo na tangu nimeanza kumjua yupo vile vile, hajazeeka zaidi wala hajapungua hata mwili..
Aliendelea kuongea yule Mwanajeshi...
******
Basi sasa. Baada ya Raisi na yule mzee kujaa, walitusogelea karibu zaidi na kusema..
"" "" Mzee Meshack.. Nakuomba hawa watu wasije kuuona jua kamwe.. Wakaishi chini ya Ardhi maisha yao yote hadi kufa kwao..
Mkawafundishe uzalendo na wajue uvumilivu ni nini..
Wamelipa Taifa doa kubwa sana. Naomba mzee wangu ukawafunze adabu vijana hawa..
Aliongea Mheshimiwa Raisi na kuondoka zake..
Yule mzee alituchukua na kutuleta humu chini na tangu hapo hatujawahi kutoka..
Tulipewa mafunzo na Adhabu nyingi sana..
Tulinyooka na kuijua nguvu ya uzalendo.. Hadi leo hii vijana tumetulia na ukorofi tumeacha..
Tunaishi tu humu na kutoa mafunzo kwa wageni kama wewe mnaokuja ili muwe maafisa wa kwemda kulilinda Taifa...
Ukitoka humu Saidi usije kuwa mpumbavu kama Sisi...
Aliongea Yule jamaa na kufanya nicheke tu....
"" " POLENI SANA maafisa wangu.. Nitawaheshimu na kuwatii katika kila hatua.. Kumbe ni magumu kiasi hiki mmepitia jamani...
Aliongea Saidi....
**********
**********
TURUDI NYUMBANI KWA SAIDI KIDOGO...
Usiku huo Rehema ndio alikuwa anafika nyumbani kwa Saidi alipokuwa ameitwa na Nasra..
Alifika na kupiga honi..
Nasra alitoka na kufungua geti kisha Rehema aliingiza Gari lake na kupaki sehemu nzuri...
Alishuka Rehema na kukumbatiana na Rafiki yake kisha kuingia ndani..
Muda huo Dalali Sele alikuwa amekaa tu chini kama kifaranga aliekimbiwa na mama yake...
Alikuwa anatazama tu akina Rehema na Nasra wanavyo ingia ndani..
*****
"" "" " Waaaaaoooohhh jamani Dalali tapeli huyooo....
Nimefurahi kukuona My.. Aliongea Rehema..
" "" Ulifurahi sana kunitapeli laki Saba ya kodi ya nyumba..?? Ulifurahi sana kunibaka siku unaenda kunionyesha nyumba..
"" " Jamani Dalali sele nina ham sana na wewe...
Aliongea Rehema na kwenda kumshika shika Sele kidevu.
*****
" "" Lakini amebarikiwa Sana Mtalimbo huyu kaka. Ndio maana analitembeza kila mwanamke alionje..
Hata leo nilivyomuita alikimbia fasta yani utadhani mbwa karushiwa nyama.
Aliongea Nasra kwa masanifu huku wanacheka na kumshika shika Sele......
"" "" " Sele, unaonekana unapenda sana Ngono...
Leo hii Tutakupa ngono uifanye hadi tuchoke sisi na siyo wewe kuchoka..
Tukitaka Goli hamsini inabidi utupe.. Hata kwa kipigo utafanya tu...
Leo ndio siku mtu anafia kwenye kifua cha mwanamke... Sijui utafia kwenye kifua cha nani.. Cha Kwangu au cha Rehema..
Aliongea Nasra na kuanza kuvua nguo zake, Rehema pia alianza kuvua nguo moja moja hadi wakabaki uchi kama walivyo zaliwa.
"" "" Haya Vua nguo Mwanaume.. Mbona unakuwa mvivu wakati siku zote wewe ndio unakuwaga wakwanza kuvua nguo zako..???.
Aliongea Nasra..
Sikuwahi kuwaza kama Nasra alikuwa katili kiasi kile.. Sikutegemea kama alikuwa ni myama kiasi kile na sikutegema kama hakuwa na Huruma hata tone binti mdogo na mrembo kama yule....
ITAENDELEA...
Comments
Post a Comment