UTAMU WA DADA NAA 15


 



ILIPOISHIA.....

"" "" Ngoja uumie kidogo Dalali sele.. Karib hom..

Aliongea Mwenyewe Nasra...


Nasra alishika Sim yake na kumtumia Dalali Sele ujumbe...


"" "" "" Njoo my lala huku basi... Saidi yupo kwa mganga anauguliwa.. Mimi naogopa kulala mwenyewe,

Nasra aliandika ule ujumbe na kuutuma kwa Dalali Sele...

******


Alikaa kidogo lakini hakujibiwa.. Aliamua kupiga kabisa simu.. 


Simu iliita mara ya kwanza hadi ikakata bila ya kupokelewa, mara ya pili pia iliita bila kupokelewa..


"" " Mmmmhhh.. Hii mbwa imechezwa na machale,

Aliwaza Nasra na kucheka mwenyewe..


Aliingia chumbani kwake na kuwasha taa kisha kupulizia dawa ya mbuu kwasababu hali ya hewa haikuwa rafiki sana.. Mbu walikuwa wengi na walikuwa wanauma kisawa sawa..


Baada ya kupulizia dawa, Nasra alifunga mlango na kurudi Sebuleni. 

Akiwa anashuka ngazi ya Sebuleni, aliona sim yake imewaka inaita..


Aliikimbilia na kuishika kuangalia nani anampigia..

Alikuwa ni Dalali sele..


"" " Mambo Dalali. Aliongea Nasra kwa upole sana..


" "" Poa poa nambie Shem lake. Kaka anaendeleaje.??

Aliongea sele kwa masanifu...


"" "" Aaaahh.. Nimemsafirisha huko kijijini Kaliua Tabora anapatiwa matibabu.. Mbona tangu asubuhi hakuwepo.?? 

Atakaa kule wiki nzima..

Aliongea Nasra..


"" " umefanya jambo la busara sana.. Lakini sijui kama atapona. Nadhani mumeo alidhulumu mali ya mtu ndio maana..

Aliongea Sele...


" "" "" Bana Sele we unamaneno mengi.. Njoo nyumbani basi My..

Nasra alionge kwa mahaba...


"" "" Unanipikia nini mrembo wangu.??? Aliongea Dalali sele...


"" " Mmmmhh.. Usiku huu nilibandika maharage tutakula na Chapati dear..

Nasra alizidi kujibembelezesha...


" "" " Naja muda huu my.. Japo kuna sehemu nilikua niende lakini naahirisha kwasababu yako Dear..

Alijibu Sele na kukata simu..


" "" yeeeeaaahh... Karibu mbwa wewe..

Aliongea Nasra na kuingia chumbani kwake kupunguza nguo na kubaki na Mtandio tu...


**********

**********


Hazikupita Dakika ishiri ilisikika honi ya pikipiki getini.


Nasra alijisogeza taratibu na kwenda kufungua...


Dalali Sele alishuka akiwa na Mfuko umejaa matunda..

Aliingia ndani na yule bodaboda aliemleta akaondoka zake..


Nasra alifunga Geti na kuhakikisha kuwa kaifunga vyema kabisa..


"" " Pole na heka heka kipenzi changu.. Leo sijaona gari lako likipita au hukwenda kazini.?? Aliuliza Sele..


" "" Nilienda Asubuhi nikawahi kurudi.. Yaani we Sele unamambo.. Kwahiyo huwa unakaa kunichunguza Tu..

Nasra alijibu huku anafungua Mlango wa sebuleni na kuingia ndani...


"" "" Nakupenda sana ndio maana nakufuatilia.. Unadhani nafurahia Saidi anavyo kukula mtoto mrembo kama wewe.

Alafu unajishushia hadhi Nasra.. Mtoto mzuri, jina Zuri bado unahangaika na kijamaa kama kile, au umepagawa na hii nyumba...


Sele aliongea kwa kujiamini huku anamgusa gusa Nasra kwenye makalio..


"" "" Aaaahhh.. Hembu acha hizo habari Sele..

Aliongea Nasra huku anafunga vyema mlango wa sebuleni..


Baada ya kufunga mlango.. Nasra alisogea na kukaa kwenye kochi huku Mapaja yake yakiwa wazii..


"" ""Jamani jamani wewe mtoto unasura na umbo zuri kama warembo wa Peponi..

Aliongea sele..


" "" Wapeponi unawajua wewe au unaongea tu.. Halafu unaonekana hata Madrasa hujawahi kusoma wewe..

Aliongea Nasra na kucheka..


Dalali sele alicheka pia nakusema "" " mimi nilikuwa mtaalamu wa kuhudhuria shughuli tu kama harusi na Maulidi.. Nilikuwa mtata sana wa mazingira hayo.." ""


Dalali Sela alikaa kwenye kochi na kuanza kupapasa mapaja ya Nasra Taratibu..

Nasra alijiachia tu kama vile haelewi chochote..


Sele aliendelea kupapasa hadi kwenye kona ya mapaja na kuanza kupapasa juu ya chupi..


"" " Baby mbona kimya sana.. Au hauna hisi leo.???

Aliongea Sele baada ya kuona anamshika tu mtu ambaye hata hatikisiki...


Muda huo Nasra alikuwa amechukia sana.. Mara ya kwanza alikubali kubakwa na Sele kwasababu alikuwa akilinda siri ya kazi yeke.

Leo siri imeshavuja na Nasaidi anajua..


Na tayari wameshaweka mipango yao ya maisha..


Nasra aliona leo amnyooshe kidogo Sele ili awe na nidhamu na akome kuingilia wanawake wengine bila idhini yao.


Nasra aligeuka na kumtazama Sele aliekuwa bado anapapasa juu ya chupi yake.. 


Macho ya Nasra yalikuwa mekundu na mishipa ilishaanza kumjaa usoni... 


"" " Kuna nini Nasra..??? 

Dalali sele aliuliza kwa hofu na kuutoa mkono wake alipokuwa anashika... 


ITAENDELEA

Comments