SINDANO ZA MAHABA

 



*IJUE SAIKOLOJIA YA TENDO LA NDOA* 

*๐Ÿ˜‹ Tendo la ndoa kwa mwanamke ni zaidi ya hitaji la mwili.*


๐Ÿ“Œ Mwanamke hapendi ngono anapenda mapenzi (tendo lilitokana na upendo).

๐Ÿ“ŒMapenzi kwa mwanamke ni maisha kwahiyo anapokupa mwili wake amekupa sehemu ya maisha yake.

๐Ÿ“ŒMara nyingi mwanamke hufumba macho anapofanya mapenzi ili kuzipa nafasi hisia kutengeneza taswira za uzuri hufumbua mara chache ili kupata mwitiko wa uso wa mwanaume anajisikiaje kisha hufumba tena.

๐Ÿ“Œ Mwanaume asionesha kufurahia humwacha mwanaume na maswali mengi yasiyo na majibu na humchochea kujichukia binafsi na kukosa furaha.

๐Ÿ“ŒMwanamke katikati ya tendo anaweza kumuuliza mwanaume maswali kama haya! 

๐Ÿ‘‰✍️‼️Unanipenda kweli? Je unarizika na mimi, unaenjoy nk? Pia anaweza kusema please usiniache na ukaende kwa mwingine nk. Huwa si yeye ila NAFSI yake inazalisha maswali juu ya HISIA zimebeba.

⛔Tendo la ndoa kwa mwanamke huwa ni zaidi ya mwanaume awazavyo au anufaikavyo kuwa (amwange na alale).

⛔๐Ÿ‘‰Kiasili mwanamke baada ya kuimaliza safu ya milima ya KITONGA hutamani stori na maongezi mazuri ingawa mwanaume yeye hukimbilia mto na alale!๐Ÿฅฒ✋ 

⛔๐Ÿ‘‰Mwanamke baada ya tendo la ndoa ndipo huwa na maneno mazuri na yenye maana sema wanaume hawajui muda upi wa kupata mawazo mazuri yenye ukweli kama baada ya SEX. 

⛔๐Ÿ“ŒWanaume wanaofanya SEX hunufaika sana maana hawakimbilii mto kulala baada ya SEX ila humsikiliza mwenza wake ajue changamoto zake ni zipi na anawaza nini ila wafanya NGONO hukimbilia kulala ndio maana huwa hawavuni mawazo mazuri toka kwa wenza wao na wengi hawazijui changamoto za wenza wao.

NB: Siongelei wanawake wanaojiuza au wadangaji ✌️Naongelea mwanamke mwenye vision ya kuwa mke wa mtu.


Comments