πππkutoa kuku 2 waliokaangwa na chipsi nyingi tu yakutosha na kisha akaenda kwenye friji na kufungua"mnatumia vinywaji gani?",hapo tulibaki tunaangaliana tu "embu kuweni huru nyinyi ni wageni Wangu muhimu hivyo sihitaji muwe na hofu?", mwalim Jackson alipoona hatutaji kinywaji akachukua soda 3 na pombe aina ya waini na kuweka mezani"jichagulieni hapo kisha yy akaenda chumbani na tulisikia maji yakimwagika bafuni"jemimah mm Leo nataka kujaribu waini inakuwaje ukinywa?","acha bana","siachi na hapa tunakunywa wote?","mm tena haiwezekani Kama kujaribu ww jaribu ila mm si subutu?",veneranda akacheka na kusema"yaani hii waini ndio kipimo cha urafiki wetu haswaaa","kivp?","yaani kulewa peke yangu siwezi na Kama siwezi hapa inakubidi unipe kampani Kama mm nilivyokupa kwa Jackson kwa shida zako hapo nimemaliza",kwa kauli hile niliona naanza changanyikiwa"ilaa vene","hakuna chann wala nn na Kama hauwezi sema niondoke zangu?",niliona kichwa kikiniwamba nifanyeje mm na pombe sijawahi kunywa
πππ"Sasa unaenda wapi veneranda?",hapo nilimkamata baada ya kuona amesimama na anaondoka"naona kumbe ww Jemimah hauna urafiki wa kweli,yaani mm kuja hapa kujizalilisha utu Wangu kwa huyu mbwa kisa ww alafu mm kitu kidogo tu unashindwa kunisaidiaa?","basi yaishe mm nitafanya utakavyo shoga yangu!",tukiwa tumesimama mara mwalimu Jackson akaja huku akiwa amejifunga taulo na kifuani kajaa nywele(garden love) ambazo zilikuwa zikitililika maji"vp warembo Kuna sehemu mnataka kwenda?","hapana",alijibu veneranda na kukaa chini mkono moja kwa moja kwenye waini na kisha akajimiminia na kuniwekea pia japo yake ilikuwa nyingi kuliko yangu"vp kumbe na nyinyi ni wanachama Kama mm sikuwahi jua","ss sio wazoefu ndio tunajifunza!","sawa Kama mnajifunza ila kwa hiyo mlio mmna ni nyingi sana hivyo inaweza wafanya mbaya na hata baadae mkashindwa kunionyesha ujuzi wenu kitandani
Comments
Post a Comment