MWALIMU JACK 09


 



πŸ“πŸ“πŸ“kesho kutwa tukutane tujue tunafanyeje sawa jemimah?","mm naona kesho kutwa ndio nitakuwa tayari hata kwa kukukupa mzigo ila ujipange","niachie mm Hilo",nikajiweka sawa na kumwaga na kuondoka nikawa nimeponea chupu chupu kwa mzee huyu ambae namheshimu Kama baba yangu mzazi

πŸ†πŸ†πŸ†"Yuleee sini veneranda yule?",nilijiuliza na kujijibu mwenyewe ni kweli ni yy,hapo nikamkimbilia ila veneranda alikuwa ametupia sana viwalo siku hiyo"shoga vp kutoka kabla ya kukufuata?","nimeona niondoke tu kwani baba simwelewi kabisa leo?","kivp?","baba yangu ni mtihani tu ila ipo siku tutazungumzia Hilo?",nikawaza ama nae anamtaka mwanae,tuliongea mengi huku tukienda kwa mwalim Jackson

πŸ₯πŸ₯πŸ₯"Yule mbuzi mbona kafunga mlango?","nn?","ndio Jemima angalia lile si kufuli?",nikahisi kuchanganyikiwa baada ya kumvuta veneranda mkono wenye saa na kubaini ni saa1:20 usiku"Mungu Wangu niangalie mm mja wako aaaaahuuuuu?","Jemima mbona umechoka na kukaa chini shida nn?","shida hapa tumechelewa atakuwa ameondoka?","kivp hii si ndio saa 1 yenyewe?","ndio ila zimezidi dakika 20,kwani hukumbuki kipindi tunasoma baadhi ya wanafunzi walikuwa wanamwita nan?","aaayaaa kweliiii duuuh bwana muda kwa kujali muda sana na wanafunzi wengi kukosa vipindi vyake ukizidisha hata dakika 3 akiwa ameingia darasani siku hiyo utasomea nje na kuandika akishatoka kufundisha","Sasa leo tumezidisha muda wote huoo!",tukiwa tumechoka hatujua tufanyenn,tulimuona mwalim Jackson akija na mfuko anaonekana hakuwa mbali na alipotufikia"habari zenu?","ni njema shii",akatukatisha"aaaa aaah inatosha bana,mnanisalim mara ngapi haya karibuni ndani",tuliangaliana na veneranda na kisha tukamfuata ndani na tulikuta amepalemba(pamependeza)sana Kila kitu kipo mahali pake

πŸ‘πŸ‘πŸ‘Akatuvutia meza yake ya kioo mbele yetu akachukua  masahani na kutenga mezani,maji ya kunawa na kunywa,glass akachukua ule mfuko aliopita nao na kutoa

Comments