πππya Peter nimempiga chenga sana kumpa mzigo ila amenisaidia sana vitu vingi,"mambo Peter, Peter nakusalimia?","ujue jemimah kunifanya mm Kama mtoto nn maana yake?",hapo nikajichekesha Kisha nikaangalie watu na nilipoona hamna wa kuniona nikamwambia"Leo nakuja ila kukuzihilishia Hilo",hapo nikamtolea dodo zangu zinazomtoaga mate na kuziomba angalau kuziona tu"shika kabisa ama hata kuinyonya ni ww tu", Peter alishikwa na uchu akaleta mkono na kuishika moja ni Kama anaota vile na kuinyonya,nilipoona ananogewa nikamwambia"mpenzi inatosha tukutana baadae","jemimah ww ni mzuri wa umbo na raha pia,akhsante kwa hiki","haina shida sema huwa nabanwa sana na siunajua mama yako mkwe hali yake bado?","Leo jemimah unazidi nipagawisha yaani umekubali yule mama yangu mkwe na vp anaendeleaje?","bado atapona vp hamna chakula na dawa hamna?","dawa ni zile nilikupa majuzi?","ndio"hapo nikamuona Peter akipima michele,mafuta,sabuni,unga,maharage na akanipa na dawa pia na shs10"wahi kwa mama mkwe umpe dawa na umpikie na jioni inabidi nikutafutie simu","akhsante mume wangu Peter"Kisha nikaondoka ila moyoni hayupo kabisa Peter japo huwa anajitoa sana kwangu
πππNafika nyumbani mama kalala jilani na jiko chini pasina jamvi,moyo ukanilipuka sana"mama mama vp?","aaah sijisikii vizuri!","sawa jipumzishe pale Kisha nikalishikilia jiko vizuri,tulikula akanywa dawa na Sasa jioni imefika ikanibidi kumwaga mama baada ya kuoga"mama leo Kuna dalili ya kutokurudi nitakuwa na veneranda","sawa ila kuwa makini?","nitafanya hivyo",Nafika kwao veneranda"shikamoo baba?","marahaba ingia tu!","akhsante,vp veneranda Yuko wapi?","mmepishana Sasa hivi na yy kasema anakuja kwenu kuwa ulimwita?","ndio baba ila nilitakiwa kuja kumuombea ruhusa kwako kwani nilimuomba aje anisaidie nyumbani usiku kulala kwani mama bado hali yake sio nzuri!","pole sana ingia uchukue pesa kidogo ya matumizi kwa ajili
Comments
Post a Comment