MWALIMU JACK 06


 


🍓🍓🍓 mbele yake nikafanya na akaanza nipapasa hadi kunitia vidole sehemu zote mbili Kisha akasema vaa nguo zako tukutane usiku na cheti changu nilikiona","Sasa silimeisha hilo ama unaogopa kwenda kwake?","shida sio kwenda kwake shida hapa niiiii?","nn sema?","anasema hata Kama nimpe nn usiku mzima hawezi kunipa mpakaaaa","mpaka nn mbona hufunguki?",hapo nikaanza Lia huku nikimshika miguu veneranda"anasema anakutaka na ww uendee nisaidieee rafiki yangu","aaakaaa mm huyo mwalimu hapana bana na harafu huo usiku siwezi ruhusiwa toka","mara ngapi huwa unalala kwetu bwana veneranda?","ukweli mm kwa Jackson siwezi acha tu niwe mkweli kwako",aliongea huku akiondoka na kuingia ndani ila nilimshika mguu na kilio kilichochanganyikana na makamasi ambayo wala nilikuwa Sina muda nayo"nisaidieee shoga yanguu,ww ndio tumaini langu la mwishooo angalia mama yangu ni mgonjwa nitaweza vipi muudumia na hata mdogo wangu?",nililia mpaka huruma ikamwingia"sawa basi acha kulia tutaenda ilaaa!!!","Mungu akubariki shoga yangu,akhsante"

🍍🍍🍍 Veneranda akaninyanyua na kuniweka kifuani mwake huku akinipapasa kichwa"ila inabidi baadae uje kuongea na wazazi wangu kuwa tunaenda kwenu?","nitafanya hivyo akhsante kwa mara nyingine ngoja niende nitakuja jioni","sawa",nilienda nyumbani na kumpikia mama yangu ambae nilikuta kajikaza na Yuko jikoni anapika japo hali yake bado kabisa na kuni zilivyokuwa mbichi nilimkuta anakohoa sana kwa sababu ya kupuliza kuni ziwake"mama nenda ndani ukapumzike Kwanza","sawa ila vp rafiki yako Veneranda ulisema unaenda kumwazima pesa ili unichukulie dawa amekupa?","aaah ndio amenipa ila nilipita kwenye duka la dawa lilikuwa limefungwa ila inakubidi uendelee hapa nikaangalie duka la jilani pale",nikamwacha mama na kuondoka Niko njiani nawaza kuwa nimemdanganya mama kuwa naenda kukopa,Sasa nitafanyaje?,ikanibidi niende kwa Peter dukani kwake na shida ya

Comments