MWALIMU JACK 05


 



🍓🍓🍓" yako uje na huyo msumbufu mwenzio veneranda ambae amekula pesa zangu nyingi Sana na hataki kunipa nikitakacho,ukija peke yako hata Kama unipe nn cheti sitoi nimemaliza",Kisha akaondoka huku nikiishiwa nguvu kabisa nikawa najililia tu,nilikaa pale shule mpaka saa8 ndio nikaondoka safari kwao veneranda,nafika nyumbani kwao hayupo nikajaribu kwenda sehemu zote ninazozijua huwa anatembelea na mwisho ndio nakumbuka kumbe anasimu"samahani rafiki yangu Bidu,je unaweza kumpigia veneranda kwani nimemtafuta Sana?","simu yangu haina salio shoga yangu ila ngoja nimwambie betha kama atakuwa na salio?","sijui Kama atakubali kwani mm hatuelewani nae","najua Hilo ww niachie",Bidu akamfuata Betha"shoga nashida na veneranda ila simu yangu haina salio",akampa na akapiga"Haloo Betha niambie?","mm ni Bidu Niko hapa na jemimah tunashida na ww?","mm ndio nafika nyumbani na ninatakiwa kupika baba anawahi leo kurudi hivyo njoo nyumbani mm kutoka mpaka nimalize kupika","sawa tunakuja","poa","akhsante shoga yangu Bidu!","haina shida ww ni wangu bana",Kisha tukaondoka na Bidu ila tulipofika njiani"shoga yangu mm siendi popote nilikuwa tu namzuga Betha,mm narudi","poa mida mida",nikawa naondoka"jemimah embu ngoja Kwanza leo mbona uko tofauti kabisa na hauna furaha kabisa?","hamna najisikia kichwa tu kinauma labda inawezekana ndio sababu!","poleee shogaaa" Kisha tukaachana na nikachanganya mironjo mpaka kwao veneranda

😊😊😊"Karibu jemimah,vp huko kwa Jackson?","Kwanza Kuna Nani hapa ukitoa ww?","hakuna",nikashusha pumzi"kwa kweli veneranda ni mtihani sana","kivp hujamkuta?","nimemkuta","Sasa umefeli wapi kwa Malaya yule ama umemkatalia?","sijamkatalia","ama hujamshawishi kula tunda ili akutatulie shida yako?","embu tulia basi mbona maswali mengi,Kila kitu nimefanya alivyo taka ila wapi!","alitaka nn?","duuuh na ww mgumu kuelewa ila nitakwambia,alisema nivue nguo zote mbele

Comments