MWALIMU JACK 03


 



๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜uniandikie maelezo kutokana na shutuma hiyo na ndani ya dakika 20 uwe umeyawasilisha kwangu haya potea hapa", mwalimu Jackson aliondoka huku akinikata jicho"sasa ww nenda darasani usimwambie mtu kwani inawezekana tukachafua sifa ya shule ila yy utaona ni jinsi gani nitamshughurikia","sawa mwalimu akhsante"

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃKwanzia siku hiyo mwalimu Jackson akawa paka na panya na mm na sikujua hatua alizochukuliwa na mwalimu mkuu na ile tabia ya kuja ofisini kwa mwalim mkuu nikiwa nafanya usafi akawa haji ila Leo ndio naenda kukutana nae sijui itakuwaje,nilifika shule mida ya saa 6 mchana kukiwa kimya kabisa nikamuona anatoka darasani na kwenda ofisini kwani huwa anafundisha twisheni hapo shule kwa kipindi cha shule kufungwa"Eeeeh Mungu nisaidie mm mja wako",Kisha nikagonga mlango"hodi mwalim","nani?","mm jemimah","ingia",naingia yuko bize na hataki kuniangalia kabisa"shikamoo mwalim!","achana na hizo habari sema kilichokuleta hapa?","eeeh unajuaaa mwalim mm nashida","mm Sina shida hivyo nenda kwa mtu mwenye shida Kama ww,mnaweza elewana",kwa kauli hile nikashindwa naanzia wapi tena nikabaki kimya kwa muda"naomba mwalim unisaidie",hapo nilianza lia huku nikipiga na magoti"embu fanya hivi jemimah,nenda nje kalie kwanza ukimaliza uje na hapa Nina dakika zisizo zidi 10 Kama utakuwa hujamaliza utanitafuta siku nyingine?"hapo akakaa kwenye kiti na kuanza niangalia na nikaona ninavyomjua mwalim Jackson anavyoenda na muda hapa ataondoka kweli na nitakuwa nimeikosa kazi kesho

๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜"Shida yako nn haswa,sema kwa kifupi?","nimeomba kazi sehem na huko wanaitaji cheti Cha shule ","umekuja na pesa kwani siunajua unadaiwa?","hapana,pesa sijajanayo ila naomba unisaidie nikishapata kazi nitakuja kulipia hilo deni",apo akacheka na Kisha akasema"hivi Kuna mtoto mwenzio hapa mbele yako ama Kuna mkubwa mwenzio mbele yako?",swali lile nilishindwa kulijibu akasema tena"bado

Comments