MWALIMU JACK 01


 


🤩🤩🤩"Jemimah unauhakika na ulisemalo?", "Sasa nitafanya nn,mama yangu na wadogo zangu wananitegemea ni Bora niende kwa huyo Malaya mwalimu Jackson akanitatulie shida yangu ya kukipata hicho cheti ili kesho nikapate kazi?", 

"ila unakumbuka vizuri Sana ulimkataa mwanzoni na ukajaribu hadi kumshitaki kwa mwalim mkuu kuwa anakutaka?","ndio veneranda,mm nifanyeje Sasa na Sina msaada zaidi!,pesa Sina ya kukigombolea cheti changu na halafu ata Kama ningekuwa na pesa kwa Sasa bado nisingeweza kukipata kwa leo kwani shule imefungwa na mwalimu Jackson tu ndio anakuja shule na yy ndio anafunguo za shule nzima","pole rafiki yangu jemimah,Sasa tumpigie simu?","ww namba yake uliipata vp?","aaah hata mm aliwahi nitongoza ila nilimkatalia akasema ww ndio unanitia ujinga mpaka namkatalia na mara ya mwisho aliichukua simu yangu kwa nguvu na kuandika namba yake huku akinipa na shs 30 ya kununulia vocha ili nimbip ila bado sikufanya hivyo?","poa basi piga niongee nae mm"

😎😎😎"Haloo!","Haloo veneranda haujambo?","hapana mwalim mm ni jemimah niliku",kabla sijamalizia akakata simu"veneranda, mwalimu Jackson amekata simu nilipojitambulisha kwake, nifanyeje mm jamani!",niliongea hayo huku hisia za kulia zikianza nitembelea na mwisho nikalia kabisa ila rafiki yangu akaja na kunibembeleza"usilie jemimah kipenzi ngoja nimtumie sms hapa nimuombe akusikilize na sms akandika na kuituma na muda si muda mwalimu Jackson akapiga na sijui aliandika nn"haya jemimah huyu hapa ongeanae","Haloo mwalimu nilikuwa na shida ya kukuona?","shida haswa ni nn Niko bize Sana hivyo hata huo muda wa kuchezea na wajingawajinga Kama yy Sina?","yaani mwalimu nikikuona ndio itakuwa vizuri zaidi,samahani mwalimu wangu Niko chini ya miguu yako naomba nikuone?","sawa,saa ngapi?","hata sasa hivi mwalimu naweza kuja","sawa njoo Niko shule na ukichelewa naondoka kwani Kuna sehemu natakiwa kwenda","akhsante nakuja

Comments