"mwanaume hukuuuu!" Anitha alipiga makelele yaliyomshtua kila mmoja ndani ya chumba hicho tulicholala watu nane katika vitanda viwili vya ghorofa juu na chini
"kulikoni tena?"
"mbona tunaharibiana usingizi?"
"wewe vipi tena mnafanya mambo yenu halafu mnatusumbua sisi?" kila mmoja alimwuliza Anitha ambae alibaki amekaa kitako akihema huku akijishika kifuani kwenye ziwπ€ lake la kushoto akisikilizia mapigo ya moyo, akanigeukia na kunitazama mimi, nikamkonyeza tu nikiwa nimejifunika shuka gubi gubi, nikageuka upande wa pili na kulala nikiwa mwepesi nimeshashusha mzigo wa dhambi' kwenye uchπ€ wa mwanadada huyo
"hamna nilikuwa naota tu!" Anitha alizuga kila mtu akasonya sonya na kulala kwenye godoro lake, Anitha akajilaza huku akinitazama, nikamgeukia
"asante!" nikamshukuru kwa kutosema chochote huku nikitabasamu, nikalala nikimuachia maswali mengi sana, moja kati ya hayo ni kwa nini mimi mwanaume nimeingia kwenye gereza la wanawake .....
........
"amka kumekuchwa hapa siyo kwa mumeo baba yako mama yako au bwana wako na demu wako, hapa ni jela!" askari alitukurupusha alfajiri majira kama ya saa kumi hivi wote tukaamka huku mimi nikiwa sijavua nguo hata moja, mpaka hijabu nikiwa nayo kitandani, kila mmoja akaanza kuvaa huku Anitha akinitazama mimi niliyebaki nimeduwaa tu nikiwasubiri wabadili nguo maana mimi sikuwa na mpango wa kubadili nguo na kuvaa zingine kwa sababu ya siri yangu ambayo sikutaka ivuje hata kidogo
"mbona huvai Sherma?" Queen aliniuliza, Censia alipokuwa ameshatoka
"mh wala sibadili nguo mimi naenda hivihivi!" nilimjibu huku nikibana sauti yangu kama ya kike na uzuri sura ya kike nilikuwa nayo nikiwa sina ndevu kabisa ukichanganya na make up ya kitaalamu niliyopakwa pakwa ambayo ilianza kuishia ishia usoni basi siyo rahisi kunigundua kama ni mwanaume mpaka unifunue ndani maana kama matiti nilitengenezewa viplastiki maalumu vyenye rangi ya ngozi yangi vikapachikwa kifuani kiasi kwamba hata ukinivua nguo kifuani kwa haraka haraka utadhani kuwa nina matiti ambayo mpaka ukatazame vizuri ndipo utagundua kuwa hayatikisiki wala hayachezi chezi na ukiyavuta yanachomoka sababu yamebandikwa tu kifuani kama vikopo fulani mithili ya vifuu vya nazi
"haya twende basi Sherma!" Queen aliniambia huku Anitha akiwa pembeni anavaa huku akituangalia mwanadada huyo akiwa ana lake moyoni, Queen aliponishika mkono kuniinua ili tuondoke akadakwa mkono wake na Anitha
"Twende Sherma!" Anitha aliniambia huku akimsonya Queen ambae alitaka kuonyesha ukaribu namimi, Queen akatikisa kichwa kutikisika wote tukitoka na kwenda kupanga mstari, tukapewa majembe ya mkono kila mtu na askari kiongozi wa gereza aitwae afande Miriam alisimama mbele kutoa maagizo
"wote mnaingia kwenye shamba la gereza kulima ili tupande mahindi kila mtu kipande atakachopangiwa sawa, watu wavivu watapewa adhabu, sasa ni saa kumi alfajiri inaelekea saa kumi na moja alfajiri, mpaka saa moja asubuhi kazi iwe imeisha sawa??" afande Miriam aliamrisha
"sawa afande!!!" tuliitika kwa pamoja
"tawanyikaaaaa!!" aliamrisha wote tukatawanyika na askari wakampa kila mtu kipande chake kikubwa cha kulima kwenye shamba hilo kubwa sana la ekari nyingi lililo nyuma ya gereza huku tukisimamiwa na maaskari kadhaa wote wa kike
Kazi ya kulima iliendelea wakati huo nikilima karibu kabisa na mwanadada Queen ambae ghafla alianza kujishika tumbo akilalamika maumivu akakaa chini akiwa amejikunja kama jongoo anapoona hatari ya adui
"afande afande anaumwa huyu!" nilimuita askari mmoja ambae alikuwa karibu akasogea na kumtazama Queen
"acha uvivu wewe endelea kulima!" askari alimwinua Queen kwa nguvu akainuka na kuendelea kulima lakini haikusaidia, Queen alizidiwa na kuanguka mzima mzima akitupa jembe pembeni lakini nikamuwahi na kumdaka asije akaumia nikamlaza taratibu akiwa amejishika tumbo,
"nyie wawili mbebeni huyo mpelekeni ndani akalale zamu yake nani atafidia kati yenu?" askari alituuliza
"mimi nitafidia afande!" nilinyoosha mkono nikijitolea
"hahaha mke wa shehe utaweza kweli!?" askari alicheka akigonga mikono na wenzake
"nitaweza afande!"
"utafidia kesho leo nenda kamuangalie huyo mwenzako si unaweza kumbeba?"
"ndiyo afande!" nilimwitikia askari huyo wa kike nikambeba Queen mgongoni peke yangu safari kuelekea kitandani kwake kumlaza tukisindikizwa na askari mmoja ambae alipotufikisha alituacha na kurejea shambani kuwasimamia wengine
Nilipofika nikamlaza mwanadada Queen aliyekuwa amefumba macho yake, kisha akafumbua na kunitazama
"asante sana Sherma kwa kukujali!" aliniambia akinishika shavuni
"usijali!" nilimjibu nikitabasamu na kumshika kichwani
"sijui hata nikulipe nini yani!"
"hamna usiwaze wala!"
"lazima niwaze Sherma!" alinijibu mwanadada huyo huku akinipapasa papasa kifuani
"Queen ndo nini unafanya?"
"usinielewe vibaya Sherma nakupenda kwa jinsi unavyonijali na kunithamini nimeona nitumie upenyo huu nipate penzi lako Sherma nina hisia kali juu yako!" mwanadada huyu aliniambia huku akiupeleka mkono wake kiunoni mwangu kwa bahati mbaya akashika dudu langu ambalo lilishasimama ndani ya nguo, akashtuka
"ndo unafanya nini sasa Queen?" nami nilijikuta nikimwuliza nikijisahau na kuongea sauti ya kiume badala ya ile ya kike ninayoitumia kuongea kila siku
"nani aliyeongea niwewe au?" alishtuka akiinuka kitandani haraka haraka kwa hofu........
Itaendelea....
Comments
Post a Comment