MUHOGO NDANI YA GEREZA 04


 



"wapi??!! Nilimwuliza Anitha huku nikijikuna kichwani maana mambo yalikuwa mabaya kweli kweli


"si hapa jamani Sherma hupaoni au??" Alinijibu akiukamata mkono wake na kunigusisha kwenye tak🤔 lake la kulia huku nikiwa natazama pembeni na kuangalia matak🤔 yake kwa machale machale, mambo yote yakiwa wazi


"kuna kipele kidogo!" nilimjibu akiwa uch🤔 hana nguo kama wengine ambao walikuwa wakiendelea kuoga huku mimi peke yangu nikiwa bado nina nguo zangu mwilini sijazivua


"nikune basi Sherma!"

"umesema?"

"nikune haraka!"

"sawa!" nilimjibu, sikuwa na namna nikanyoosha mkono wangu na kuanza kumkuna kipele hicho kidogo kilichomuota kwenye tak🤔 lake la kulia, lakini nilipokuwa nikimkuna Anitha aligeuka na kunitazama huku akivibrate vibrate na kushtuka shtuka kama mtu apigwae na shoti ndogo ya umeme ya kimya kimya


"Sherma?" aliniita kana kwamba anataka aniulize kitu

"abee, vipi tayari?"

"bado nikune na kwa juu hapo shoga yangu maana mh!" aliguna huku akinipanulia matak🤔 yake zaidi nami nikizidi kuchanganyikiwa, hali ikiwa mbaya ndani ya overoll la kifungwa nililolivaa,  b🤐..lo langu likiwa limesimama dede linahemea hemea tu juu juu lakini bahati yangu ni kwa sababu tu linguo lenyewe nililobahatika kulipata ni likubwa chini kama bwanga lakini juu ndo likinibana, hivyo haikuwa rahisi mtu kuliona dud🤔 langu lililosimama likilalia pembeni na kunigundua kama mimi ni mwanaume na siyo mwanamke


"vipi tayari?"

"ndiyo tayari uuwiii! Sherma wewe mh?? " Anitha alijibu huku akinitazama na kutikisa kichwa chake, nami sikutaka kuongeza neno maana nilishajua kuwa wakati namkuna kwenye tak🤔 lake alikuwa akihisi msisimko na hisia tofauti na ambayo angeisikia kama angekuwa anakunwa na mtu wa jinsia yake yaani mwanamke mwenzake


"hey leo ni sikukuu kwahiyo mpo huru kufanya usafi wenu na mambo yenu ya kawaida hiyo ni amri kutoka kwa mkuu wa gereza, lakini kesho litakuwa balaa mtafanya kazi double yaani maradufu kwahiyo leo sherehekeeni lakini kesho mjipange sanaaaa???!!" afande Rukia alitutangazia alipokuja bafuni


"ndiyo afandeeeeee!!!" wote walishangilia wakiruka ruka na kuanza kurushiana maji bafuni huku wengine waliokuwa wameshavaa nguo zao wakizivua tena na kuanza kuoga tena ikiwa ni shamra shamra za siku hiyo ya mapumziko na wengine wakipiga ngoma kwa kutumia ndoo za kuogea na makopo, wengine wakiingia kati na kuanza kushindana kukata mauno na kutingisha matak🤔 yao wakiwa uch🤔 huku wakimwagiana maji kama sehemu ya shamra shamra, uvumilivu ukanishinda nikajikuta nikitoka mwenyewe ndani ya bafu hilo taratibu maana mambo yalizidi kuwa mabaya kwangu kutokana na urijali nilionao, kwakuwa nilishapajua pa kulala nikaelekea moja kwa moja mpaka kwenye chemba yetu ya kulala iliyokuwa na vitanda viwili vya ghorofa, kila kitanda tulilala wawili wawili, juu wawili chini wawili, kwahiyo ni wanne kila kitanda kizima na jumla nane ndani ya chumba hicho,


Nilipoingia nikashtuka nilipokuta wadada wawili wakiwa wanabusiana busiana na kushikana shikana wakipapasana papasana wenyewe kwa wenyewe ambao inaonekana hawakuenda kuoga wakitumia nafasi hiyo kuburudishana tena hawakuwa na nguo, nilipowakuta nikajua akina dada hao watashtuka lakini wala hawakushtuka wakaendelea na mambo yao ndani ya shuka, nikajikuta nikipiga ishara ya msalaba baada ya kuona kituko hicho ambacho nimezoea sana kuona kwa upande wetu wanaume, mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwenzake (ushoga) lakini leo ndiyo nimeshuhudia mahusiano baina ya mwanamke na mwanamke mwenzake wakifanya yao kitandani huku mmoja aliyeonekana ni mwanamke halisi akiguna guna na mwingine aliyejifanya kama ndo mwanaume akijitahidi kukoroma kwa sauti nzito lakini uhalisia ulibaki palepale wote ni wanawake tu


"Sherma!" Anitha aliniita na kunitoa kwenye mshangao niliokuwa nikiwashangaa wanawake hao walichokuwa wakikifanya ndani ya shuka ambalo walijifunika nusu kuanzia miguuni mpaka kiunoni tu, kuanzia kiunoni mpaka kichwani wakiwa wazi matiti nje nje


"abee!"

"usiwatazame sana watakukasirikia!" alininong'oneza taratibu

"kwahiyo ni wapenzi hawa au?" nilimwuliza tukinong'ona chini chini wakati wanawake hao wakiwa bize kitandani wakiendelea na shughuli yao

"ndiyo hali ya huku ilivyo, wanaume hakuna kwahiyo watu wanaamua kumalizana kiu zao za mapenzi wenyewe kwa wenyewe wale wenye mioyo midhaifu, ila sisi wenye uvumilivu ndo tunajizuia hivyo hivyo tusije kutumbukia kwenye michezo hiyo!"


"mh?" niliguna tu


"kwahiyo ndo hujaoga Sherma?"

"aah nitaoga baadae Anitha" 


Nilimjibu, wakati huo huo kengele ikagongwa kama tupo shuleni

"kengele ya chai hiyo tuwahi!" Anitha aliniambia akiinuka nami nikamfuata tukiwaacha hawa wengine  wakiendelea na mapenzi yao kama kawaida


"vipi wale hawanywi chai askari akiwafuata je si tungewashtua na wao?" nilimwuliza wakati tukiwa tumefika kwenye foleni ya chai tayari

"mh Sherma humu askari kwenye muda wa kula hana muda na wewe na wala hakuamrishi, yaani humu ni wewe tu, ila wakati wa kazi ndo thubutu zubae zubae utakula kirungu au mkanda wa mgongo wale kengele wamesikia sana sasa wakikaa njaa kisa nyege zao ni wao wenyewe tu" Anitha aliniambia nikatikisa kichwa tukaingia kwenye foleni hiyo ndefu ya chai mpaka tukapata chai kwa vipande viwili vya mihogo ya kuchemsha tukakaa kwenye meza na kuanza kunywa pamoja na wengine na ndipo tukawaona wale waliokuwa tumewaacha wakisagana chumbani nao wakija kupanga foleni wakiwa wa mwisho mwisho huku yule aliyekuwa chini kama 'mwanamke halisi' akiwa amekasirika sana na yule aliyekuwa kama ndo 'mwanaume wake' akiwa hana habari tena kwenye foleni yeye ndo kakaa mbele ya 'mwanamke wake' wakati ilibidi yeye kama 'mwanaume' amtangulize 'mkewe'


 Yule 'mwanaume' alipata chai kwa bahati mbaya 'mwanamke' akakosa chai maana iliisha na 'mwanaume' wake wala hakujali akaenda kukaa na wanawake wengine na kuanza kunywa chai, huyu 'mwanamke' wake alipotuona sisi akatufuata


"samahani naomba mnipunguzie chai!" alitunyooshea kikombe


"mssssyuuu wakati mnafanya mambo yenu hamkukumbuka kama kuna chai?" Anitha alimsonya, mimi nikamwangalia na kumuhurumia nikachukua kikombe changu na kuanza kummiminia chai lakini kabla sijafanya hivyo kikombe changu kilipigwa ngumi kikaruka juu juu chai ikimwagika yote, kutazama aliyekipiga alikuwa ni yule 'mwanaume' wake aliyekuwa akinitazama kwa hasira...... 


Inaendelea



Comments