"sogea hapa!" askari mmoja wapo aliniita kwa amri nikamsogelea kiuwoga uwoga, woga wangu ukiwa siyo kwa ajili yao maana walikuwa ni warembo tu mmoja akiwa mwanamama wa makamo mwenye shepu siyo ya kitoto, akiwa amevalia sare zake za askari, nguo zimemshika ipasavyo na kumchonga hipsi zake na nyuma sasa ndo dah, alijaaliwa msambwanda mwanamama huyu uliojichora kwenye suruali yake ya sare aliyochomekea, na mwingine akiwa ni mwanadada tu mdogo mdogo
Kilichonitisha kwao ni virungu vyao vya chuma walivyoshika mikononi ambavyo kama wangenitandika navyo basi nisingebaki salama ningebaki na maumivu makali pamoja na 'manundu' ya kutosha mwilini
"naam... abee afande!" nilijikuta nikichanganya namna ya kuitikia kwa vile ni mwanaume niliyejifanya mwanamke kuna baadhi ya mambo yakinishinda kwa sababu kila jambo nililotakiwa kulitenda ilikuwa lazima nilipange kichwani kabla ya kulitenda, askari wale wawili wakatazamana
"unaitikia naam umekuwa mwanaume wewe dada kwani?" mmoja aliniuliza
"hapana samahani afande!" nilijibu nikitikisa kichwa kwa msisitizo
"afande Jane afande Rukia!" mara wakaitwa nje
"ndiyo afande!"
"ndiyo afande!" wote wakaitikia kwa pamoja muito huo kutoka kwa askari aliyewazidi cheo huku wakipiga saluti ingawa hawakumwona bado
"njooni!" aliwaita
"wewe nenda kaungane na wenzako kule!" mmoja aliniamrisha huku wakitoka
"sawa afande!" nilijibu namimi nikitoka haraka haraka huku nikiyaweka weka maziw🤔 yangu (ya bandia) vizuri kifuani, yaliyokuwa yakiteremka teremka kila mara, lakini kichwani nikiwa na mtandio wangu ule kama mwanadada wa kiislamu huku sababu sheria zikiruhusiwa, ila nguo zikiwa ni sare za kifungwa na namba ya mfungwa (mahabusu)
"wewe njoo hapa!" mara nikasikia nikiitwa na sauti nzito ya kiume kugeuka hivi nikamwona askari mmoja baba mtu mzima aliyekuwa mwanaume peke yake amekaa kwenye kiti akinitazama, nikamsogelea
"naam... abee afande!" nilijikuta nachanganya tena habari kwenye uitikiaji
"unaitwa nani?" aliniuliza askari huyu ambae mdomo wake ulitoa harufu ya sigara aliyokuwa ametoka kuvuta muda si mrefu
"naitwa Reshma!"
"ohoo jina zuri, vipi hapo kifuani nini kinasumbua sumbua mrembo?" afande huyu aliyeonekana mkware (mpenda wanawake sana) aliniuliza akiinuka taratibu na kutazama kulia na kushoto kama kuna mtu anatuona, nikagundua kuwa aliniona wakati nikiyapandisha na kuyaweka weka matiti yangu kifuani vizuri (ya bandia)
"hamna afande nilikuwa najiweka vizuri tu!"
"ahii jamani Reshma ngoja basi nikusaidie eti" aliniambia akicheka cheka huku akinyoosha mikono yake kutaka kunishika kifuani kwenye matiti
"usinishike afande!" nikawa mkali nikimkwepa lakini akazidi kunisogelea
"aaah Reshma kwani hutaki kuishi kama malkia humu ndani ya gereza jamani hautapata shida kabisa ukinikubalia na hakuna atakayejua ni sisi tu!" alinijibu akinivuta mkono tukiwa kwenye korido moja
"sitaki afande sitakiiiii!" nilimjibu kwa sauti ya kike, askari huyu baba mwenye kitambi akanishika mkono kwa nguvu akinivuta sijui alitaka kunipeleka wapi
"njoo huku wewe acha ubishi usio na maana!"
"afande Songa!" mara akaitwa na askari mwenzake akashtuka na kuniachia haraka haraka
"naam afande Jane!" aliitika baada ya kuitwa na yuleyule afande aliyetusimamia sisi
"kuna nini kinachoendelea hapo mbona unamvuta huyo dada?"
"anasumbua sumbua sana huyu dada inaonekana hajazoea mazingira ya gerezani!"
"hapana huyu afande ana.....!"
"shiiiiiiii!" baba huyo alininyamazisha kabla sijajitetea
"wewe unasumbua nini haya harakisha uende ukaungane na wenzako kule ala!" askari huyo wa kike alinikemea na kuendelea na safari yake
"usifikiri ndo umenusurika kwenye mikono yangu, nitakusaka na kukupata tu, mimi ndiye afande Songa, nina miaka ishirini kwenye kazi hii!" mzee huyo aliongea kwa kunitisha huku akininusa nusa kama mbwa, na kunipiga kofi la mgongoni akinisukuma niendelee na safari yangu nikaenda kama mzigo wa kuni mpaka kwenye uwanja wa ndani ya gereza hilo
Hatimae niliingia kwenye uwanja wa ndani kabisa wa gereza hilo nikakutana na wafungwa wengi hasa mahabusu wenzangu wakiwa na sare moja kama yangu, suruali ya rangi ya bluu iliyounganika na shati moja kwa moja, kama ma 'overoll' wanayovaaga mafundi magari na mashine mbali mbali za kielektroniki, wanawake wengi walikuwa wakinitazama tazama na kunishangaa shangaa kwa jinsi nilivyokuwa nashangaa shangaa wakinigundua kuwa ni mgeni
"karibu mgeni hapa ndo umefika dada naona huamini amini, ndiyo hapa gereza la wanawake la (.... )" aliongea akilitaja jina la gereza hilo huku akigonga mikono na wenzake wakinicheka
"hebu acheni kumsumbua mwenzenu kwani mnafikiri kapenda kuwa hapa kama ninyi njoo rafiki yangu!" mwanamke mmoja alinishika mkono, alikuwa ni yuleyule niliyemsaidia kuvaa nguo yake wakati akihangaika, tukawa tunaongozana kuelekea upande mwingine wa vyumba vya kulala
"kumbe wewe una muda mrefu humu ndani?" nilimwuliza
"nipo takribani mwaka sasa ila karibia nitatoka maana kesi yangu ina muelekeo siku hizi za karibuni unaitwa nani vile?"
"Sherma, na wewe je?"
"naitwa Anitha!"
"upo hapa kwa sababu gani?"
"mambo ya ndoa yangu tu na migogoro ya kifamilia!"
"pole sana!"
"ndo maisha, na wewe nini kimekuleta humu?"
"kesi za madawa ya kulevya"
"madawa ya kulevya mh?" Anitha alishtuka
"eeh nilisakiziwa kesi baada ya kukataa kuyasafirisha!"
"pole Sherma ndo dunia yetu ilivyo ina.... " kabla Anitha hajamalizia sentensi yake
"ni muda wa kuoga haraka wote muende kwenye mabafu yenu kuoga ni dakika tano tu!" askari mmoja wa kike alitangaza kwenye kipaza sauti kilichofungwa kwenye mti mmoja uliokuwa umepandwa katikati
"tuwahi Sherma!" Anitha aliniambia akikimbia nami nikimfuata nyuma, kila mfungwa alikuwa amebeba ndoo yake ya maji tukiingia kwenye mabafu ya pamoja ambayo wanaingia watu kumi kumi, mimi nikiwa nimeongozana na Anitha tukishea ndoo yake moja, tukaenda mpaka bafuni,
"ohoo kazi ninayo!" nilijisemea kimoyomoyo baada ya kuona wanawake wakivua nguo zao na kuanza kuoga kwa kujiachia maana mimi sikuwa mwanamke mwenzao nikabaki napata tabu tu huku dudu langu likisimama ndani ya nguo,
Wengine waliinama mbele yangu nikigusana gusana na matak🤔 yao, wengine vifuani ndo mashallaah, matiti yalikuwa saa sita, na wengine walipochuchumaa kukojoa ndo nilizidi kuvurugwa nikabaki natazama tazama tu pembeni maana hali yangu ilikuwa mbaya
"mbona huvui nguo zako Sherma hasa mtandio wako huo upo kichwani tu muda wote huoni joto?"
"hamna nitaoga tu usijali wewe anza tu!"
"tuna dakika tano wewe zembea tu, halafu nitazame hapa matak🤔..ni kuna nini naona kama kunauma!" Mwanadada Anitha, dada wa kichaga aliniambia akinisogezea mat🤔..ko yake nimtazame akiwa hana nguo hata moja yupo uch🤔
"ohooo!" nilijisemea kimoyomoyo maana alinipa wakati mgumu kwelikweli.....
Inaendelea
Comments
Post a Comment