ACHA KISIRANI
Mtu wa kwanza kumfariji mumeo ikiwa amerudi nyumbani bila kitu Ni WW π πsio mumeo anarudi nyumbani bila kazigo mkononi unavuta Domo linarefuka km chupaππ π
_
Siku mumeo akikosa ndio siku AMBAYO unatakiwa umpe Raha zote za dunia mpaka apate akili mpya za kutafuta kesho yakeππ πsiku hiyo ukampe hata juu ya kabati au uvunguni.
_ Na umbebe mgongoni alale upooo bibie ππ₯π.. πUkiwa mtu wa tabasamu muda wote kwa mumeo utamfanya awe na afya nzuri na anenepe. Ukiwa na tabia ya visirani na dharau utamuua mapema mumeo na utabaki mjane manina wwππ π π π π π π _
Comments
Post a Comment