Anza nayo
Baada ya kushinda bahati na sibu ya kubashiri timu za mpira..
Niliamua kujenga kinyumba changu kidogo cha vyumba vitatu na Sebule pamoja na kufungua biashara ya Duka la jumla na kununua bodaboda mbili..
Kiukweli nilitumia pesa zote kuwekeza.. Sikuwa na mawazo mengine zaidi ya kuinua kipato changu..
Milioni 38 nilizoshinda, zilikuwa zimeisha kabisa na nilikuwa nikiishi kwa faida za uwekezaji tu..
Lakini baadae nilipata wazo la kupangisha moja ya vyumba vyangu kwasababu sikuwa na mke wala mtoto ndio nilikuwa naanza maisha hata sebuleni sikuwa na vitu vingi vya kustua sana..
**********
Jioni moja nilitoka na kwenda kijiweni kutafuta dalali wa kumkabidhi chumba kile.. Kulikuwa na dalali mmoja maarufu sana anaitwa Dalali Sele..
Nilionana nae na kuzungumza nae...
*****
"" "" Usijali Mdogo wangu Saidi.. Kila kitu kipo sawa.. Hata leo kuna mteja nitamleta hapo kwako.. Kuna binti mmoja ni mfanyakazi wa NMB bank pale mjini alikuwa anatafuta chumba kilichotulia...
Aliongea yule dalali na mimi nilibaki kumsikiliza tu kwasababu najua madalali wameumbiwa kupepeta midomo...
"" "" Sawa broo.. Kwahiyo jioni mimi nakusikilizia nyumbani sintotoka kabisa..
Tulimaliza mazungumzo na kila mtu alipita njia yake..
Baada ya mizunguko.. Nilirudi nyumbani na kujipumzisha..
***********
Kweli jioni ya saa kumina madakika jioni nilisikia geti linagongwa..
Niliamka na kwenda kufungua...
Nilishtuka kidogo baada ya kumuona dalali yupo na dada Fulani mwembamba mwenye rangi ya maji ya kunde ila alikuwa na ngozi nyororo sana..
***
"" " Mambo Dada.. Nilijikuta naanza na kumsalimia yule dada...
" "" Poa.. Kwemaaa.!!! Alijibu yule dada huku anatabasam...
"" " Ndio kwema tu.. Karibuni sana..
Niliongea na kufungua vizuri geti..
Waliingia ndani na kupita nao moja kwa moja hadi sebuleni..
" "" " Kuzuri.. Alafu kumepoa sana na hivi huyu kaka hana mambo mengi.. Patanifaa sana hapa kwakweli.
Aliongea yule binti huku anamtazama dalali....
" "" " Hapo bado hujaonyeshwa chumba chako.. Nilitaka uongee mwenyewe ndio maana nimetulia kimyaaa ili uanze kuropoka mwenyewe...
Haya hata ukiambiwa chumba ni laki kwa mwezi utakataa kweli.????
Aliongea yule dalali na kufanya tucheke wote...
" "" We Selemani hembu acha mdomo wako.. Mkaka wa watu hata hajaongea habari za laki wewe ushaanza kuropoka..
Ndiomaana mimi siwapendi madalali..
Kaka hembu tukakione chumba.. Achana na huyu mbea..
Aliongea yule dada na kunifanya niamke na kuongozana nao hadi chumbani...
*****
"" " Waaaaaooooohhhh.. Jamani. Amaizing.. Uuuhhhhhh... Nimepapenda. Kumbe chumba kinacho madirisha mawili jamani.. So amaizing..
Kwahiyo kaka bei gani jamani.. Hata usiku wa leo leo nahamia jamani...
Aliongea yule dada....
" "" Laki moja kama alivyoongea dalali.. We mwenyewe umeona ukubwa wake.. Alafu chumba kipo ndani ya Fensi.. Choo kipo hapo kwenye kona tu.. Tena choo cha njee utatumia wewe mwenyewe maana mimi nina choo changu chumbani kwangu..
Niliongea na kumtazama yule mpangaji..
"" "" Jamaani. Nifanyie 80 kakaangu.. Nakuomba nikikaa kwa muda kidogo ndio utanipandishia bei..
Aliongea yule dada kwa kulegeza sana sauti...
"" "" Sawa. Unaweza kuhamia tu baada ya kulipia..
Niliongea na kutoka nao kurudi sebuleni..
******
We Dalali Sele, hembu twende upesi tukachukue vitu vyangu nihamie tu.. Kule napokaa sasaivi nimebakiza siku nne lakini nitawaachia tu...
Aliongea yule dada na kuinuka kwa furaha sana kisha kuondoka yeye na dalali..
Nilibaki natabasam tu huku nawaza ni jinsi gani nitaishi na mrembo yule...
*******
*******
Baada ya masaa kama mawili hivi.. Nilisikia mlio wa gari njee.. Nilifungua geti na gari mbili ziliingia.. Moja kubwa na jingine ndogo aina ya IST...
Gari kubwa lilikuwa na mizigo na kwenye dogo alikuwemo yule dada na dalali.. Yule dada ndio alikuwa anaendesha lile gari dogo...
"" " Mmmhh. Kumbe anagari huyu dada.. Niliwaza na kutabasam tu..
Walianza kuingiza vitu na kuvipanga ndani, walitumia muda mrefu sana..
Hadi kufikia saa tano walikuwa wamemaliza kila kitu..
Baada ya shughuli zote na gari kubwa la mizigo kuondoka..
Yule dada na dalali walikuja sebuleni na kusaini mkataba kisha kunilipa na dalali alipewa yake ya udalali kisha tulibaki tunapiga story tu....
Dalali sele.. Njoo basi ndani nikupikie hata tambi mara moja maana saizi hauta pata chakula.. Migahawa imeshafungwa..
Aliongea yule dada na kuinuka kwenda kwake.....
Mimi pia niliinuka na kuingia ndani kwangu kuweka zile pesa na kubadili nguo ili nikaoge...
Nilioga upesi na kuvaa kibukta changu cha kulalia.. Lakini kabla ya kulala nilikumbuka kuwa niliacha sim sebuleni... Nilikumbuka na geti pia sikufunga vizurii.
Nilitoka kwenda sebuleni kwa mwendo wa polepole...
Nikiwa koridoni kuelekea sebuleni..
Nilisikia kama mazungumzo ya watu nisiyo yaelewa ndani kwa yule binti...
"" " Noooohhhh... Seleeeee. Uuuuhhhh... Bana. Mimi sipendi hivyo. Sinilikwambia nakupikia tu.. Sasa mbona unanilazimisha kufanya hivyo jamani....
" "" Mmmmhh... Niliguna baada ya kusikia vile na kutulia kidogo.. Moyo uliniuma sana na kuwaza nini cha kufanya ili kukatisha hali ile kabla Dalali hajafanya makubwa kwasababu na mimi pia nilisha mwelewa yule dada..
"" "" Jamani weeee dalali mimi sitaki ukoooo.. Mbona unanivua nguo yanguu... Uuuhhh jamani sele usifanye ivyo mimi sijajiandaa kufanya jamani... Seleeee niachie bana......
Aliendelea kulalamika yule dada....
ITAENDELEA....
Comments
Post a Comment